Necta mböna wapo kimya sana kuhusu csee 2011 results

Tuliza mshono mwana, yatatoka tu..Au umechoka kuchunga mbuzi nini?
 
Hakuna mwaka ambao matokeo yalitoka kabla ya tarehe 10 February luweni na subira
 
Kuweni na subira vijana, form 2 washapata walichokipanda hivyo siku c nyingi mambo yatakuwa wazi,,,
 
Anyway, suala la matokeo linahitaji umakini mkubwa sana kutokana na idadi ya watahiniwa ambao wanaongezeka siku hadi siku hivyo kuongezeka kazi katika kufanya tathmini ya matokeo kitaifa. Si suala la kusahihisha na kutangaza tu bali kuna michakato mingi kabla ya kutangaza
 
Back
Top Bottom