NEC yazika mzimu wa Richmond

Kila yanapozungumzwa maswala mazito yanayohusu namna taifa letu hili masikini lilivyodhulumiwa nakuibiwa na wajanja hawa wachache,sioni kauli ya JK ikinielekeza kwamba anaside na wananchi walio wengi ambao hawawezi kupata milo 2 ya siku na ambao kwao wao JK ni kama mkombozi wao badala yake najikuta kubakia kuamini kwamba pengine JK si mtetezi wao,pengine ni mtetezi wa hao wachache ambao wanatumia nafasi zao kuwanyima watanzania walio wengi fursa ya kupata huduma muhimu za afya na elimu bila tatizo.Kama JK yuko pamoja nasi namuomba aonyeshe kwa vitendo na maneno kwamba yuko pamoja nasi! Bado nabakia kuamini JK ni jawabu la matarajio ya wananchi wa Tanzania kwahivyo namuomba athibitishe hilo kwa vitendo haraka iwezekanavyo. Mungu Ibariki Tanzania
 
Nilisha waambia hapa EPA, Richmond, ufisadi havitaweza kuiondoa CCM madarakani. Hivi issues zote mnalazimisha kwamba zinaihusu CCM moja kwa moja lakini ukweli ni kwamba hayo ni matatizo ya watu binafsi. You can use those agendas in different approach na kufanikiwa lakini siyo jinsi mnavyotaka hapa. CCM ilishinda kiteto katikati ya vita vya ufisadi. Hao watu mnaowashtumu kwamba ni mafisadi wamepokelewa kwenye majimbo yao kama wafalme. Endeleeni kutuburudisha....
 
baada ya jukius caesar kuzunguka dunia nzima akijenga alirudi kwenye himaya ya dola la kirumi, ndipo brutus akamkamata akumuua, huku akisema tazama wewe unajiimarisha huko nje,(nje ya dola la kirumi) na umesahau huku ndani....

jk atamaliza kujitangaza na kusaka masifa huko nje, atakapogundua kuwa ndani ya chama chake kuna akina brutus, tayari atakuwa amechelewa
 
Kadri muda unavyokwenda ni wajibu wa wapiganaji(waliodhamilia kuleta mabadiliko) ndani ya CCM kuwa na planning. Mara nyingi huwa si vizuri kumuumiza simba alafu ukamuacha akaenda machakani. Huwa akitoka anakuwa mkali kuliko alivyokuwa mara ya kwanza.

Kinachoonekana UFISADI ndani ya chama cha mapinduzi umeota mizizi vya kutosha, ni kama wapiganaji walichelewa, kwa sasa hivi watatumia nguvu kubwa sana na mwisho wa siku mategemeo ya kufanikiwa yanaweza yakawa kidogo sana.

Wakati wakiendelea kupambana inatakiwa wawe na plan B. Plan A ilikuwa kusafisha chama ambayo inaonekana kuwa ngumu.

Plan B lazima ilenge kupata soln, Solution hapa ikifikia mwisho wakaona hakuna uwezekano, ni watanzania wengi wako tayari kwa plan B, nayo ni kuwaacha MAFISADI wakaendelea na CCM yao halafu, wakaimpliment plan B.
 
Nilisha waambia hapa EPA, Richmond, ufisadi havitaweza kuiondoa CCM madarakani. Hivi issues zote mnalazimisha kwamba zinaihusu CCM moja kwa moja lakini ukweli ni kwamba hayo ni matatizo ya watu binafsi. You can use those agendas in different approach na kufanikiwa lakini siyo jinsi mnavyotaka hapa. CCM ilishinda kiteto katikati ya vita vya ufisadi. Hao watu mnaowashtumu kwamba ni mafisadi wamepokelewa kwenye majimbo yao kama wafalme. Endeleeni kutuburudisha....

Please, CCM ni GOGO/JIWE/MTI au nini? Nielewavyo ni jumuiya ya watu wenye dhamira ya kuongoza nchi ili ilete maendeleo kwa kila mtu kwa njia halali. Kama Makamba aliomba helkopta aliomba na kupewa kama nani na anaetetewa ni nani? ni GOGO/JIWE/MTI. Walioiba EPA na RICHMOND wapo wapo? ni walalahoi?

Please again
 
NEC yazika mzimu wa Richmond
*Wataka mijadala ya EPA, Richmond iwekwe kando

Msumari wa moto uliongezewa na Mbunge mmoja wa Kigoma (jina tunalo), aliyesema mwaka 2010, wananchi hawatahoji Richmond wala EPA zaidi ya kuhoji barabara na maji.

"Mwaka 2010, wananchi hawatatuuliza Richmond wala EPA, watatuuliza maji na barabara tulizowaahidi ziko wapi?" alisema Serukamba.

Twaweza kumlaumu Serukamba na kauli yake, lakini huo ndio ukweli wa mambo na kuendelea kulia EPA, Radar na Richmond hakutaleta mabadiliko yoyote na Upinzani kamwe wasitegemee kuendelea kujinadi kwa kupiga vita Ufisadi pekee.

Kama Tanzania ingekuwa imeendelea kimawazo kama nchi nyingine, ingekuwa ni rahisi sana kuiangusha Serikali kwa kutumia hoja hizi za hujuma. Lakini ikiwa 31% ya watu wazima Tanzania hawajui kusoma wala kuandika, je upevu na upeo wao kimawazo utakuwa wapi wakiambiwa Chenge ni mchawi, wakati Chenge huyu huyu, kamnunulia Baiskeli na shati?

KUna haja ya kuwa na massive emancipation of civic education kwa Taifa kutoka kwa Wapinzani na hata ndani ya CCM yenyewe.

Itakapofika 2010, CCM watadai walileta Sullivan, Walimleta Rais Bush wa Marekani, watadai walivumbua hujuma kubwa BOT, lakini kamwe hawataruhusu hoja ya kusema Serikali yao iwajibike. Watapewa kura nyingi tuu na sisi tutabakia tumeshangaa na kupagawa.
 
Nilisha waambia hapa EPA, Richmond, ufisadi havitaweza kuiondoa CCM madarakani. Hivi issues zote mnalazimisha kwamba zinaihusu CCM moja kwa moja lakini ukweli ni kwamba hayo ni matatizo ya watu binafsi. You can use those agendas in different approach na kufanikiwa lakini siyo jinsi mnavyotaka hapa. CCM ilishinda kiteto katikati ya vita vya ufisadi. Hao watu mnaowashtumu kwamba ni mafisadi wamepokelewa kwenye majimbo yao kama wafalme. Endeleeni kutuburudisha....

Kweli kabisa Sam,

Wao waendelee na kelele zao tu na sisi tukiendelea kunywa kuku kwa mrija...
Tanzania ni ya ccm tu hawa wengine wanapoteza muda kwa sasa
 
Nilisha waambia hapa EPA, Richmond, ufisadi havitaweza kuiondoa CCM madarakani. Hivi issues zote mnalazimisha kwamba zinaihusu CCM moja kwa moja lakini ukweli ni kwamba hayo ni matatizo ya watu binafsi. You can use those agendas in different approach na kufanikiwa lakini siyo jinsi mnavyotaka hapa. CCM ilishinda kiteto katikati ya vita vya ufisadi. Hao watu mnaowashtumu kwamba ni mafisadi wamepokelewa kwenye majimbo yao kama wafalme. Endeleeni kutuburudisha....

Sam wamesema wenyewe Dodoma kwamba hawakuwa na uwezo wa kushinda iola fisadi mmojawapo aliamua kumwaga mapesa na helikopter ndiyo wakashinda .Wahat a message ? Watanzania nadhani wana elewa ila ikifikia kutenda kwamba polisi , ma returning officers na wengineo kulazimisha matokeo inakuwa issue nyingine but Tanzanians do understand .
 
Naanza kupata hofu kuwa yaliyojitokeza kwenye kikao cha bajeti mwaka jana hadi Zitto kuadhibiwa yanaweza kujirudia tena mwaka huu. Niandikapo haya, mbunge wa Mvomelo ambaye mwanzoni nilidhani ni Rostam, anaendelea kutoa mchango wake. Ameanza kwa kumsifu sana Mkapa kwa jinsi alivyopaisha uchumi, akaendelea kwa kusema wabunge waangalie ilani ya CCM na si mambo ya EPA kwani wananchi hawayafahamu hayo. Tusubiri wabunge wa kambi nyingine tuone mambo yatakavyokwenda.
 
hiki ndicho watu wanatakiwa kuangalia sasa hivi. Mambo ya maendeleo na sio kuisakama serikali safi kabisa na yenye mafanikio ya ccm. Hongera mbunge wa mvomelo.
 
hiki ndicho watu wanatakiwa kuangalia sasa hivi. Mambo ya maendeleo na sio kuisakama serikali safi kabisa na yenye mafanikio ya ccm. Hongera mbunge wa mvomelo.

1. You look as if cursed!

2.All people of your type they end up dying having a red hot charcoal in their BUTTOCKS!!!!!

3.Think and act on behalf of your generation, dont create a miserable life for them!!
 
NYIE MMEPUNGUKIWA???
KWA TAARIFA YENU CCM HAIONI NA WALA HAIJAONA HASARA AMBAYO TAIFA LIMEPATA KUPITIA KASHFA ZA EPA NA RICHIMONDULI.

Na hiki ndicho chama makini
 
Naanza kupata hofu kuwa yaliyojitokeza kwenye kikao cha bajeti mwaka jana hadi Zitto kuadhibiwa yanaweza kujirudia tena mwaka huu. Niandikapo haya, mbunge wa Mvomelo ambaye mwanzoni nilidhani ni Rostam, anaendelea kutoa mchango wake. Ameanza kwa kumsifu sana Mkapa kwa jinsi alivyopaisha uchumi, akaendelea kwa kusema wabunge waangalie ilani ya CCM na si mambo ya EPA kwani wananchi hawayafahamu hayo. Tusubiri wabunge wa kambi nyingine tuone mambo yatakavyokwenda.

INATIA HASIRA.....

Ina maana hao wabunge ndiyo wanaojua mambo ya EPA?
Kwa kuwa wamekula wao basi wanafikiri wakija majimoni watapigiwa maofi, hawajui haya makofi ni ya kifisadi na tutawafisadi sana 2010
 
Kila mara nauliza hapa je tufanyeje? maana maneno meeengi JF lakini yanaishia kwenye keyboard. Hakuna jipya.
Lakini kwa kuwapa burudani hatuna mpinzani.
 
hawawezi kulizika hivihivi, CCM wanafikiri kuwa wadanganyika bado wamelala, hali halisi itaonekana wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa kama wadanganyika bado wamelala au wameamka.

Hivi sasa vijijini kote wanajua kuwa CCM ni wezi wa pesa za serikali na wanasubiri kuwaadhibu, watawapa Tshirt na pesa watazipokea lakini kwenye kura hawatawapigia, tusiwaamshe tuwaache waendeleee kulala.
 
Naanza kupata hofu kuwa yaliyojitokeza kwenye kikao cha bajeti mwaka jana hadi Zitto kuadhibiwa yanaweza kujirudia tena mwaka huu. Niandikapo haya, mbunge wa Mvomelo ambaye mwanzoni nilidhani ni Rostam, anaendelea kutoa mchango wake. Ameanza kwa kumsifu sana Mkapa kwa jinsi alivyopaisha uchumi, akaendelea kwa kusema wabunge waangalie ilani ya CCM na si mambo ya EPA kwani wananchi hawayafahamu hayo. Tusubiri wabunge wa kambi nyingine tuone mambo yatakavyokwenda.

Mbunge wa Mvomero yule Murad aka Sadiq lazima amsifu Mkapa kwa kuwa wote wanahisa katika mashamba ya Mtibwa. Huyu ni mbunge anayewatafuna wananchi wake mwenyewe. Ni mbunge aliyebebwa na Mkapa, hata mtandao hawakufua dafu kijana wao Amos Makala akaangukia pua. Lakini wananchi hawampendi kiasi kwamba hawezi hata kuzunguka jimboni kwake ponjoro huyu. Siku zake zinahesabika. Hivi CHADEMA haina mgombea kule 2010 kieleweke?

Asha
 
Alikuwepo mate wangu kule, yaliyomkuta anajua mwenyewe
 
Naweza kuwa fananisha hao Nec kama wjumbe wa shetani walioenda mkutanoni na bosi wao shetani.pili nawafananisha na kunguru wachafu waishio jalalani,kwani wanatetea mafisadi.Hukumu ya mungu juu ya hawa watu hakika inachelela.
 
Back
Top Bottom