Injinia
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 849
- 26
- Thread starter
- #21
- Sioni ishu hapa, wananchi wanaongezeka na majimbo lazima yaongezeke hili linaeleweka na dunia nzima, tatizo ni maviongozi magoi goi tunaowachagua kutoka haya majimbo na ni sisi wananchi, ni lini tutachagua viongozi wanaotufaa kwenye taifa, I mean mbunge ashindwe jimbo basi awe bora kwenye taifa basi!
- Yaaani mtu huna macho, sasa hata akili nazo huna! Damn!
Respect.
FMEs!
Hapo unataka kusemaje kaka?
Yaani kweli Tanzania tunaongezeka kwa kasi gani hiyo ya kuhitaji kuongezewa majimbo?
Ungekuwa unatetea kuongezwa kwa wilaya na mikoa ningekuelewa kwani hizi ni serikali/ tawala za ngazi ya chini.