Mpenda CCM
Member
- Nov 3, 2010
- 44
- 0
Yeah, na kwa mantiki hiyo unaenendelea kuungana na wengi kwamba NEC imekosea matokeo, bila ya kujali imemfaidisha nani au kumnufaisha nani
Katika hii error Kikwete alikuwa anapoteza zaidi ya Slaa