Hapa watu ndio walioanza kushtuka. Na hizo zingine je? Kwa kukiri hivyo matokeo ya kura yanatakiwa yawe nil and void mpaka yathibitiwe tena na chombo huru badala ya nec.Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo
Kikwete 30,960
Slaa 22,036
Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo

Kikwete 30,960 badala ya kura 17,792 (+13,168)
Slaa 22,036 badala ya kura 3,789 (+18,247)
Utaona Slaa alitaka kudhurumiwa kura 18,247. Je kuna makosa mangapi ya aina hii yamefanyika?

Dr. Slaa itisha maandamano Nchi nzima kupinga matokeo bila hivyo hakutakuwepo na somo watakalojifunza. Tunataka Dunia ijue kuwa wamechakachua kama walivyofanya IRAN, KENYA, ZIMBABWE na kwingine kwa madikteta kama hawa, Huu umekuwa utaratibu sasa wa CCM kuchakachua. Kukomesha ni kuingia mtaani.
Nyie wezi ndio mnayaleta yote hayo hata AIBU hamna,na jamani kila kitu anaona ni Slaa tu wengine tunafanya nini?hakika sikukosea kumpa kura yangu Slaa a.k.a Silaha ya maangamiziwewe si unaropoka tu, kipute cha mtaani kikianza mtaachia wamachinga waandamane na nyinyi mtakuwa mnafuatilia kupitia viblogu vyenu......