Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,476
- 4,250
NEC wameanza kuangalia huko Vunjo. Vipi wana ubavu wa kupitia tena matokeo ya urais? kama watakuta kasoro watafanya nini? Naona hawa jamaa walichukuliwa mambumbumbu wamezoea kuhesabu kutumia vidole na vijiti mara wakaletewa tekinolojia ya kompyuta. Piga, ua, garagaza hawana capacity. wamechaguana kindugu na wala siyo kwa mwenye utaalam
Mkuu, au umesahau kule Kilombero kwa dada Regia ambako walichakachua kwa kutumia calculator ya kwenye simu?
Hawa akina Kivaitu naona usiku watakuwa hawalali vitanda vinazunguka, roho na akili zao vinawasuta! ndio maana wanaanza kujirudi taratibu..
Naamini mda si mrefu Mkwere atawapiga chini ili kuepusha aibu