Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 42
NEC ya CCM ambayo inajiita NEC ya uchaguzi, msituchagulie watanzania Rais, tunajua watanzania wamemchagua Dr. Slaa kuwa Rais wao. Mkilazimisha kumtangangaza JK, huyo atakuwa Rais wenu NEC, hatutamtambua. Rais wa Watanzania ni Dr. Slaa.