NEC ya CCM kumegua Kagera?

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Naomba msaada,

Wakati twaongelea kubadilisha mwelekeo wa utendaji na uongozi wa nchi yetu, kuna hii habari kuwa Kamati ya Maendeleo ya Kagera imeona kuwa Mkoa uvunjwe pande mbili kurahisisha utawala wa kiserikali. Lakini cha kustajabisha (kwangu) ni kuwa mapendekezo hayo, kwanza yanapelekwa NEC ya CCM na si Tawala za Mikoa, Waziri Mkuu (Baraza la Mawaziri) au Bunge kufanya uamuzi huo.

Je tutafika?

Meeting recommends split of Kagera Region‏
MEDDY MULISA in Bukoba
Sunday News; Saturday,January 05, 2008 @19:03
AUTHORITIES in Kagera Region have recommended split of the area into two regions to ease administration. The recommendation was made during the recent Regional Consultative Council (RCC) meeting held here, that suggested the proposed new region to comprise Ngara, Biharamulo, Chato and Geita districts.

It was also suggested that another region should comprise Meatu, Bunda and Maswa districts. The recommendations would be forwarded to the Chama Cha Mapinduzi (CCM) National Executive Committee (NEC) for consideration.

Kagera Regional Commissioner, Enos Mfuru told the leaders who attended the meeting that the move was aimed at speeding up the pace of development in the area. He said if the recommendation would be endorsed, Kagera Region would remain with only four districts of Bukoba, Muleba, Karagwe and Misenyi, with a population of 1.6 million people.
 
Mmmmhh hii ni nchi ya sisiem au?????

But Maswa na meatu ziko Shinyanga na Bunda iko Mara ni Mkoa gani umetengwa sasa?

Pili hii itaiaffect mikoa ya Mwanza (Geita), Mara (BUnda) na Shinyanga (Meatu na Maswa) Je mikoa hii nayo imeafiki hayo maamuzi ya wanakagera?

Nitashangaa sana kama Mikoa Tabora x3, Pwanix1.5, Mbeya x2, Kigomax2, Ruvuma x3, Mbeyax2 na Morogorox3 ambayo ni mikubwa zaidi ya kagera kama nilivyoanisha hapo juu haijagwanywa ili kurahisisha utawala. Kwa nini Kagera?????

kwa vielelezo kuhusu mikoa http://www.nbs.go.tz/stregions.htm
 
Mimi nadhani huu mwendo kugawa mikoa na wilaya visubiri hadi tuwe na Katiba Mpya- ambayo may be majimbo ni muhimu kwa sasa!

How many regions do we ultimately need? 22?? 30?? 45?? Manake kila mkoa ukikaa wanaweza kuja na wazo kugawanyika! Is it not better kuwa na say Majimbo?

This can be addressed kwa kuwa na katiba mpya! Mimi huu utaratibu wa sasa wa Wakuu wa Mikoa na Wilaya- hadi lini? Raisi anateu tu jamaa na washkaji- with perfomance or no perfomance- kila leo wapi! Kuna haja Wakuu wa Mikoa/Wilaya wachaguliwe na wananchi- if they dont deliver- they are voted out! Naona Kenya hali ya sasa matatizo ya sasa yakipungua ndo wanakoelekea na Bomas! Je sisi hadi lini? Na itakuwa hoja ya upinzani hadi lini?
 
Mzalendo..kwanini tuwe na wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wakati wapo watu walochaguliwa na wananchi ready? Huu MFUMO tumerithi kwa wakoloni na sie ni COPY AND PASTE SYSTEM...
 
Naomba msaada,

Wakati twaongelea kubadilisha mwelekeo wa utendaji na uongozi wa nchi yetu, kuna hii habari kuwa Kamati ya Maendeleo ya Kagera imeona kuwa Mkoa uvunjwe pande mbili kurahisisha utawala wa kiserikali. Lakini cha kustajabisha (kwangu) ni kuwa mapendekezo hayo, kwanza yanapelekwa NEC ya CCM na si Tawala za Mikoa, Waziri Mkuu (Baraza la Mawaziri) au Bunge kufanya uamuzi huo.

Je tutafika?

Meeting recommends split of Kagera Region‏
MEDDY MULISA in Bukoba
Sunday News; Saturday,January 05, 2008 @19:03
AUTHORITIES in Kagera Region have recommended split of the area into two regions to ease administration. The recommendation was made during the recent Regional Consultative Council (RCC) meeting held here, that suggested the proposed new region to comprise Ngara, Biharamulo, Chato and Geita districts.

It was also suggested that another region should comprise Meatu, Bunda and Maswa districts. The recommendations would be forwarded to the Chama Cha Mapinduzi (CCM) National Executive Committee (NEC) for consideration.

Kagera Regional Commissioner, Enos Mfuru told the leaders who attended the meeting that the move was aimed at speeding up the pace of development in the area. He said if the recommendation would be endorsed, Kagera Region would remain with only four districts of Bukoba, Muleba, Karagwe and Misenyi, with a population of 1.6 million people.

Huu ni usanii mwingine wa CCM kila kukicha kuanzisha mikoa mipya na hivyo kuongeza gharama za uendeshaji. Baada ya huu mkoa mpya kuanzishwa inabidi kuwe na mkuu wa mkoa mpya, labda na (m)wabunge wapya na wafanyakazi chungu nzima. Hizi gharama zingeweza kabisa kuepukwa au kuelekezwa katika huduma muhimu pale Kagera kama mahospitali, mashule, barabara n.k.
 
na kwanini huu umegaji usipendekezwe na wana mikoa wenyewe kwa njia ya maoni? badala yake ni watu wachache tu ambao hata hivyo ni mianvuli toka mikoa mingine. je tutafika nchi ya ahadi kwa mtindo huu?
 
Hivi kumega mkoa kweli kunarahisisha utendaji? Ni mafanikio gani yamepatikana baada ya kumega kwa mfano mkoa wa Arusha kutoa Manyara na Arusha? Mimi naona huu umegaji unaongezea tuu gharama za utendaji. Makao makuu mapya, mkuu wa mkoa mpya, sekretariat ya mkoa mpya ( mganga mkuu wa mkoa mpya, mhandisi mkuu wa mkoa mpya, afisa elimu wa mkoa mpya n.k) na kadhalika. Vile vile inaweza kujenga haka katabia ka ukabila. Pengine (sina hakika na hili) wale wasio wahaya wanaona wana haja ya kuwa na mkoa wao. Badala yake mimi nadhani kunahaja ya kuko'consolidate' hiyo mikoa tuliyo nayo na kuiongezea nguvu, ujuzi na msukumo kiutawala.
 
Back
Top Bottom