Elections 2010 NEC: Uchaguzi umeahirishwa majimbo yafuatayo...

Mbogela

JF-Expert Member
Jan 28, 2008
1,384
257
NEC-Kuahirishwa_Page_1.jpg

NEC-Kuahirishwa_Page_2.jpg

Jana usiku NEC wametangaza kuahirisha uchaguzi katika majimbo matatu na kata nyingi tu mpaka tarehe nyingine itakayopangwa na kutangazwa hapo baadaye.

Sababu ya kuahirisha ni ukosefu wa vifaa.

My take:

Kwa nini NEC hawajifunzi kutoka NECTA kusambaza vifaa?
 
r u kidding me? wanakosaje vifaa wakati wao ndio waliviagiza au hawakujua kuna hayo majimbo matatu? Unaweza kukumbishia ni majimbo gani?
 
Mbwewe zote zile ooh matokeo ya uraisi ndani ya siku moja, mara ooh! ITC iatatumika vilivyo kuhakikisha speedy reporting zimeishia wapi???????? Yaani kumbe ni uchuro tu!
 
Well: ITV wanatoa snap-shots za nini kinaendelea kwenye vituo vya uchanguzi sehemu mbalimbali hapa Dar es Salaam, Kwa ujumla ni kuwa uchaguzi umeharibika au kuharibiwa:-

- Vifaa vya kupigia kura havijafika sehemu mbalmbali hapa Dar es Salaam

- Vituo vingi inaonakana havitafunguliwa kwa wakati: Watu wako kwenye foleni tangia saa 11 alfajiri lakini hadi saa hii hamna dalili za kufungua vitua

- Majina mengi hayaonekani kwenye orodha zilzotolewa na kubandikwa ukutani/mbao za matangazo

- E.t.c
 
Mbwewe zote zile ooh matokeo ya uraisi ndani ya siku moja, mara ooh! ITC iatatumika vilivyo kuhakikisha speedy reporting zimeishia wapi???????? Yaani kumbe ni uchuro tu!

hivi uliamini hiyo ya matokeo ndani ya siku moja? Kama uliamini basi huijui tanzania na afrika
 
Jana usiku NEC wametangaza kuahirisha uchaguzi katika majimbo matatu na kata nyingi tu mpaka tarehe nyingine itakayopangwa na kutangazwa hapo baadaye.

Sababu ya kuahirisha ni ukosefu wa vifaa.

My take:

Kwa nini NEC hawajifunzi kutoka NECTA kusambaza vifaa?

baada ya uchaguzi wa 1995, si ilijulikana 2010 kuna uchaguzi tena, hawa jamaa mbona wanaboa hivi?
 
Jana usiku NEC wametangaza kuahirisha uchaguzi katika majimbo matatu na kata nyingi tu mpaka tarehe nyingine itakayopangwa na kutangazwa hapo baadaye.

Sababu ya kuahirisha ni ukosefu wa vifaa.

My take:

Kwa nini NEC hawajifunzi kutoka NECTA kusambaza vifaa?
majimbo gani?
 
nauliza hivi, ninyi wanasheria wa tanzania wenye dhamira njema na nchi yetu, hakuna namna kuwafungulia kesi waharibifu hawa wa haki na maslahi ya watanzania. Tume inafanya hivi kwa malengo kamilifu. Ndio wakati mwingine raia wanahoji, ni afadhali wanasheria wasingekuwepo maana haya ni makesi yanayokosa mtu mwenye utashi. Tutafika? Shamba kakabidhiwa nyani kulinda...mabua ndio haya!
 
wanasheria unaowazungumzia ndio hao wanasaini EPA, KAgoda nk??

Yani hadi leo bado una imani na wanasheria wa tanzania?? bongo ni katumbotele.. kwisha!!!
 
I c! Sasa huu ni uzembe!

haya tena mambo ya demokrasi Africa!! kama ni kweli wamehairisha uchaguzi ktk majimbo fulani basi ndo trick za kufanya hayo majimbo baadae kuwa na swing votes baada ya kuona matokeo ya leo!! hahaaaaaaaa... bongo kazi kwelikweli!!
 
Back
Top Bottom