Elections 2010 NEC toeni maelezo ni kivipi matokeo ya Geita na Nyang'hwale yanafanana!

jamani hata mie japo mshabiki wa mageuzi, lakini sikuamini kama tume yetu, tegemewa inaweza kuwa hivyo, mpaka nimehakikisha mwenyewe!!!
jamaniiii!!!!!
mbona hivyo??
naona aibu mie!!!
 
Jamani wenye uwezo wa kusave Webpage waisave hawa jamaa huwa hakawii kukataa, kwa sababu hii ni public page dunia nzima imeshuhudia hata wakibadili tuta query umakini kwa data zingine.
 
Za mwizi arobaini
Nakuhakikishia this time hawakatizi, wamekutana na kigingi. Kwisha habari yako kikwete na kundi lako la majangili.
 
NEC ni watu makini hawawezi fanya hivi. Hebu acheni kutuwekea mambo uzushi humu JF bana, km huna cha ku post kaaa kimya

Hivi ww mtu akili zako zipo sawa ama ndo punguwani ndo maana unatumiwa na ccm??Unabisha nn wakati matokeo yapo kwenye mtandao??
 
Wandugu nimegundia kitu cha kushangaza katika matokeo haya, i will post them soon
 
Hilo ni kosa la kiufundi, ni kazi ya wawakilishi wa vyama kulighamua, huwezi kuiba kipuuzi kiasi hicho, by the way I 'm quite sure NEC makao makuu wanangalia form zilizosainiwa... and nothing less or otherwise... na nina uhakika Jaji Lewis hajasoma namba hivyo zilivyo... tunaomba radio/TV clips ili tujue kweli Tume wanaiba.


Ukisoma kwenye source: utagundua ni tatizo la kiufundi... maana mwananchi watao data zao huko huko kwenye tume.... huwezi feki uchaguzi kiupuuzi kiasi hiki.

http://www.mwananchi.co.tz/electionedition/mwanza.php
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom