[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema sheria ya nchi haiwataki askari kuegemea chama chochote cha siasa. [/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Dk. Slaa pia alimgeukia Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Mbozi, (OCD) SSP Dudu na kumtaka ajiuzulu nyazifa hiyo kama hatamfukuza kazi askari wake anayetembelea makanisani na kueleza kuwa Mgombea Urais kupitia Chadema alishawahi kusaini mkataba wa kutaka Tanzania ijiunge katika Jumuiya ya Kimataifa ya Kiislamu (OIC). [/FONT]
ameichuka hoja yake?
jana mapema malaria sugu alijenga hoja humu kabla ya mod kuindosha.
Aliuliza jee endapo dk slaa atashindwa uchaguzi ataenda kustaki mataifa ya wafadhili tanzania inyimwe misaada?hii ilikuwa mapema sana jana asubuhi
alitoa mfano maalim seif aliposhindwa alikimbilia ulaya kushtaki ili znz na tanzania kunyimwa misaada.
Leo katk gazeti la nipahe limeripoti kwamba endapo dk slaa atashindwa basi hatua ya kwanza kwenda jumua ya kimataifa kushatki. Hii inaonyesha wazi wanaompinga ms eti hana hoja hawana hoja.
Hoja mpya
lkn kweli mataifa ya nje yatamsikiliza dk slaa na tz kunyimwa misaada? Anaushawishi kama alionaop maalim seif?
Niazimeni kamusi tafadhali.
Niazimeni kamusi tafadhali.
Na wewe tuambie maana ya 'anaporogwa'? na Je neno hili liko lwenye kamusi?