Elections 2010 NEC kushurutisha wapiga kura kurudi majumbani badala ya kusubiri matokeo vituoni!

Sheria inasema baada ya kupiga kura wapiga kura wanatakiwa wakae mita 200 kutoka kilipo kituo. Kama wanataka kubadili sheria waitishe kikao cha bunge na wabadilishe sheria lakini kwa hili labda kama wanataka kuua wapiga kura.

Kwa hili tumeshaliweka wazi kwa wapiga kura kwamba sheria walitunga wao na hawawezi kuibadilisha kirejareja kwa kidomo yao tu. Hapa wajue hatutakuwa vituoni mbali na umbali ulioainishwa na sheria na hatutarudi majumbani.
We can be a sacrifice on this matter.
 
Pamoja na mikwara ya NEC wapigakura kulinda kura zao

Agizo la NEC kuwa “piga kura, rudi makwenu ukasubilie kujulishwa matokeo huenda likaleta machafuko nchi nzima kwani wapigakura safari hii hawatabanduka vituoni mwao hadi kieleweke…

Ushauri wangu wa bwerere kwa NEC ni kuwa waitishe mkutano na vyama vyote shiriki kwenye uchaguzi huu ili waweze kupanga utaratibu wa kuwashirikisha wapigakura kuhakikisha uchaguzi huu ni wa huru na haki…………..

NEC ikumbuke ya kuwa hatuna imani nayo na vyema ikawa msikivu kwa wateja wake wakuu ambao ni sisi wapiga kura……………….
 
Pamoja na mikwara ya NEC wapigakura kulinda kura zao

Agizo la NEC kuwa "piga kura, rudi makwenu ukasubilie kujulishwa matokeo huenda likaleta machafuko nchi nzima kwani wapigakura safari hii hawatabanduka vituoni mwao hadi kieleweke…

Ushauri wangu wa bwerere kwa NEC ni kuwa waitishe mkutano na vyama vyote shiriki kwenye uchaguzi huu ili waweze kupanga utaratibu wa kuwashirikisha wapigakura kuhakikisha uchaguzi huu ni wa huru na haki…………..

NEC ikumbuke ya kuwa hatuna imani nayo na vyema ikawa msikivu kwa wateja wake wakuu ambao ni sisi wapiga kura……………….

I like JF
 
Ni kweli kabisa hasa mie sina imani nayo kabisaaa na mwaka huu lazima nipige kura na kuilinda mpaka kieleweke maana Sitadanganyika.
 
Na utaratibu kuwa matokeo ya kura za rais hayatangazwi majimboni, ubadilishwe mwaka huu, badala yake yawe yanatangazwa majimboni, na taarifa kutumwa pia taifani kama Zanzibar
 
We are in a race between cooperation and catastrophe, and the threat is outrunning our response.:confused2:
 
Wanatafuta nafasi ya kuzichakachua kura, tusubiri machafuko wakati wa upigaji au baada ya kura endapo suala hili halitaangaliwa kwa umakini.
 
Ni kweli mpaka sasa inaonekana upinzani kupiga bao ccm. Hofu sasa imebaki kwenye kulinda kura. Nina uhakika pia kuwa 70% kwa wakazi wa Dar kutokana na utafiti mdogo ni kuwa watapigia kura upinzani. Isije hujuma ikatokea NEC kwa kushindwa kupeleka makabrasha ya kupigia kura. TUTATOA MTU NYONGO AKICHEZEA HII ISSUE!
 
Sheria inasema baada ya kupiga kura wapiga kura wanatakiwa wakae mita 200 kutoka kilipo kituo. Kama wanataka kubadili sheria waitishe kikao cha bunge na wabadilishe sheria lakini kwa hili labda kama wanataka kuua wapiga kura.

Kwa hili tumeshaliweka wazi kwa wapiga kura kwamba sheria walitunga wao na hawawezi kuibadilisha kirejareja kwa kidomo yao tu. Hapa wajue hatutakuwa vituoni mbali na umbali ulioainishwa na sheria na hatutarudi majumbani.
We can be a sacrifice on this matter.

Hiyo labda sheria za uchaguzi wa ndani wa Chadema. Hata hivyo sasa hivi hakuna tena chaguzi ndani ya Chadema. Anatafutwa "mtaalamu kutoka Chuo Kikuu" tu wa kuchagua viongozi wa chama. :becky: :becky: :becky:
 
kwani hujui kuwa ccm, kazi yenu ni kuhonga mawakala, na kubadili kura zilizopigwa na kuweka zingine ili kujipatia ushindi.

Ndugu yangu, nakumbuka jinsi ambavyo kwenye uchaguzi wa 1995 katika jimbo la Dar es Salaam Mrema alikuwa amepata kura nyingi kuliko Mkapa lakini zikafanywa mbinu ikabidi watu tupige kura upya ili Mkapa aweze kupata kura nyingi zaidi ya Mrema! Wakati huo mbinu za kubadili matokeo kwa kalamu ama kwa kununua kura zilikuwa hazijashamiri. Mungu ibariki Tanzania tufike tunakopaswa kufika kwenye maendeleo na haki sawa kwa kila Mtanzania.
 
Nawapa salamu wana JF ASUBUHI YA LEO. Nina mengi ya kuwa- hint lakini leo nataka niwataadharishshe na huyu mtu anayeitwa Dr Slaa na wafuasi wake wa CHADEMA. NINAWAAMBIA HIVYO KWA SABABU WAMEKARIRIWA kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo tarehe 29, Septemba ,2009. imewanukuu Dr Slaa na mpambe wake wa karibu Mbowe kuwa ni wachochezi.

MIMI NASEMA WATU HAWA HAWASTAHILI KUISHI NCHINI TANZANIA AMBAYO NI YA AMANI NA UTULIVU. Watu hawa ni hatari yafaa sote tuwaogope eti wanadiriki kusema wananchi wamwage damu ikiwa ni gharama ya kulinda kura. Kama hiyo haitoshi wazandiki hawa wanashawishi matokeo ya uchaguzi mkuu yakataliwe oktoba. Mimi nadahani hawa wanahitaji kwenda hodi ya magonjwa ya akili(Mirembe) wakachunguzwe akili zao kama zipo timamu.

Baada ya kuona wamepunguza umaarufu nchini na kuona waziwazi kuwa hawatashinda kwenye uchaguzi mkuu wanajaribu kushawishi watu wakatae matokeo hii ni laana au nini??? Nawashanga Mbowe na DR. SLAA!! .

Mgombea Urais wa CCM DR .JAKAYA KIKWETE wamejionea wenyewe kwa macho na kusikia jinsi mgombea huyu anayopeta kila anakokwenda kupiga kampeni. Ni wazi kila mtanzania ameona kazi zake alivyozifanya kwa umakini mkubwa katika kipindi cha awamu ya kwanza cha Urais. Hivyo wameamua kwa dhati kumchagua tena katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Watanzania wenzangu tumeshazoea kuishi kwa amani na utulivu tusishawishiwe na wazandiki Dr . Slaa na Mbowe kwa kuwa hawafai.

Chagua Kikwete chagua CCM tarehe 31 Oktoba ,2010 . Cha kufanya unachukua kura yako unaweka waa!!

Vote for Kikwete 2010
 
Ulikuja humu kuvote kwenye hiyo JF poll hapo juu umwongezee JK point. Amin amin nakwambia , kabla halijawika jogoo tarehe 31/10/2010 tutakuwa umemkana JK mara tatu.
 
Nawapa salamu wana JF ASUBUHI YA LEO. Nina mengi ya kuwa- hint lakini leo nataka niwataadharishshe na huyu mtu anayeitwa Dr Slaa na wafuasi wake wa CHADEMA. NINAWAAMBIA HIVYO KWA SABABU WAMEKARIRIWA kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo tarehe 29, Septemba ,2009. imewanukuu Dr Slaa na mpambe wake wa karibu Mbowe kuwa ni wachochezi.

MIMI NASEMA WATU HAWA HAWASTAHILI KUISHI NCHINI TANZANIA AMBAYO NI YA AMANI NA UTULIVU. Watu hawa ni hatari yafaa sote tuwaogope eti wanadiriki kusema wananchi wamwage damu ikiwa ni gharama ya kulinda kura. Kama hiyo haitoshi wazandiki hawa wanashawishi matokeo ya uchaguzi mkuu yakataliwe oktoba. Mimi nadahani hawa wanahitaji kwenda hodi ya magonjwa ya akili(Mirembe) wakachunguzwe akili zao kama zipo timamu.

Baada ya kuona wamepunguza umaarufu nchini na kuona waziwazi kuwa hawatashinda kwenye uchaguzi mkuu wanajaribu kushawishi watu wakatae matokeo hii ni laana au nini??? Nawashanga Mbowe na DR. SLAA!! .

Mgombea Urais wa CCM DR .JAKAYA KIKWETE wamejionea wenyewe kwa macho na kusikia jinsi mgombea huyu anayopeta kila anakokwenda kupiga kampeni. Ni wazi kila mtanzania ameona kazi zake alivyozifanya kwa umakini mkubwa katika kipindi cha awamu ya kwanza cha Urais. Hivyo wameamua kwa dhati kumchagua tena katika uchaguzi mkuu mwaka huu.

Watanzania wenzangu tumeshazoea kuishi kwa amani na utulivu tusishawishiwe na wazandiki Dr . Slaa na Mbowe kwa kuwa hawafai.

Chagua Kikwete chagua CCM tarehe 31 Oktoba ,2010 . Cha kufanya unachukua kura yako unaweka waa!!

Vote for Kikwete 2010

Nenda ka#@%^&*()!@>"|\~{}$%#%^^
 
Mfamaji naona unatapatapa huna jipya inaonekana jinsi ulivyo sawa na wafuasi wako wa chadema. DR JAKAYA KIKWETE ATAPATA KURA ZA NDIO ZA USHINDI OKTOBA 2010.

Vote for Kikwete tarehe 31 oktoba 2010 achana kabisa na wachochezi Slaa na Mbowe kwani hawatutakii mema watanzania
 
CCM wenzake huko shinyanga wameshamkabna JK kabla hajta jua halijachea sembuse huyo.We mwache atashuhudia siku Mkoloni CCM atakavyokabidhi nchi kwa watanganyika na kuipandisha bendera ya taifa jipya na huru
 
MIMI NASEMA WATU HAWA HAWASTAHILI KUISHI NCHINI TANZANIA AMBAYO NI YA AMANI NA UTULIVU.

Suala la amani na utulivu kwa Watanzania halihitaji Kikwete kukaa jukwaani na kucheka-cheka. Kila mtu anataka amani.

Tatizo ninyi mafisadi munatumia hayo mahubiri ya amani na utulivu kuleta umasikini miongoni mwa Watanzania. Mwaka huu mutaisoma!!
 
Ile kauli ya kulala kwenye vitua vya kupiga kura, ni dalili tosha ya kuonyesha kufilisika kwa slaa na Chadema yake...
 
Back
Top Bottom