naye alikuwa CHADEMA au CCM?
Ndyanabo ninayemfahamu hakuwa mojawapo ya vyama tajwa hapo juu. RIP Ndyanabo!naye alikuwa CHADEMA au CCM?
__________________jamani wengine huwa hamjui uchungu wa kufiwa? Hayo tutauliza baadae, tuonyeshe walau utu kabla ya kujua yu upande wetu au la.
Ndyanabo ninayemfahamu hakuwa mojawapo ya vyama tajwa hapo juu. RIP Ndyanabo!
Kwa mara ya mwisho nilionana naye mwaka 1996 baada ya yeye kushindwa kumbwaga Rwegasira (CCM) wakati yeye akigombea jimbo la Nkenge linaloongozwa na Mbunge D. Kamala (sijui kama bado linaitwa hivyo) huku yeye marehemu akigombea kwa tiketi ya NCCR Mageuzi.
Nimetoa ufafanuzi mdogo huo kumwonesha GT kuwa huyu alikuwa nani, na wengine ambao hawakujua huyu alikuwa nani...

Mwenyezi Mungu aliyemuumba Wakili Julius Ndyanabo hatimaye amemrudisha kwake.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana libarikiwe (Ayubu 1:21). Amen.
Ninamkumbuka alikuwa jirani yangu pale sinza (karibu na Namnani hoteli)
Poleni sana Mke, watoto, pamoja na ndugu wote ambao msiba huu unawahusu.
Raha ya Milele umpe Ee Mungu Muumba, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani. Amen.