Ndugai na Tulia badilikeni!

Issue hapa ni kuwa Ndugai anataka kuwa speaker wa vipindi viwili 2015-2025 na Tulia anataka kuwa speaker kwenye next phase 2020-2025.
Hivyo kujipendekeza na woga ndy njia pekee...
 
S
Huyu si mwana mama..

Siku wezi 2 wakija kwako mmoja akakuibia baiskeli lakini akawa na uwezi wa kuiba na gari lakini gari akaliacha ili asikutie hasara kubwa... akaja mwingine akasomba vyoye asikuachie na ufagio je..utashindwa hata kusema bora yule mwizi wa kwanza aliyekuibia baiskeli tu.

Kama bichwa lako limejaa maji huwezi kuelewa hata hili.
Duuuu
 
Huyo ****** mwenyewe afya yake mgogoro kila mwezi yuko kwenye foleni ya daktari, unategemea nini hapo?
Na huyo Naibu wake kapata hiyo nafasi kwa sababu ni mtu wa karibu wa mtoto pendwa wa Rais mstaafu, unategemea nini hapo?
Kwa viumbe hao ni lazima Bunge lizimwe ili kuficha madudu ya hao watu wawili wanaofunikwa na M/kiti wa Bunge, Mzee wa Vijisenti.

Ova
 
Kweli kabisa mama makinda ni jembe kweli kweli spika na naibu wake wameonyesha udhaifu mkubwa sana
 
Back
Top Bottom