Ndullu, Mkulo and Utoh Should be Fired!

swali ninalojiuliza, je magavana kabla ya marehemu balali k.m. mzee mtei, marehemu rutihinda nk, nao walifanya madudu kama haya?

Rutihinda aliunguza jumba according to wazee wa mji wa Dar wanasema moto huo ulikuwa ni kuunguza document za mzee Ali Hassan Mwinyi na link ya biashara za pembe ya ndovu ikimuunganisha yeye, diria na Said Bakhressa (Sina facts but ni stori inazunguka sana mjini).
 
BOT iliungua na Nyirabu si Rutihinda!
 
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!

Infact add the whole BOT management and Board!

Na mtu mwenyewe wa kuwafukuza kazi ni nani? Kikwete!? Hajawahi kumfukuza kazi mtu huyu ukiondoa yule Mkuu wa Wilaya aliyewachapa viboko Walimu wa shule za Wilayani kwake kwa matokeo ya aibu ya darasa la saba. Hivyo hili la hawa wazembe kufukuzwa kazi ni bora tusahau tu.

Kikwete inabidi ajifukuze kazi mwenyewe kabla ya mwingine yeyote maana matatizo mengi tuliyonayo yanaanzia kwake.
 
rev kishoka wacha unafiki
unataka kuwapa lawama ndullu, mkullo na utoh halafu unamuacha swahiba wako JK?
2010 ni wakati wa kung'oa shina(JK) na sio watumwa wake.
vote out incumbents
 
Mdondoaji,

..pamoja na Gavana kuwa mwenyekiti wa bodi kuna wajumbe wengine 4 au 5 wanaoteuliwa na waziri wa fedha. wajumbe hao wana haki ya kupiga kura ikiwa jambo lolote lile litashindwa kupita by concensus.

..pia wapo makatibu wakuu wa hazina ya muungano na ya zanzibar ambao wanaingia kwenye vikao kutokana na dhamana zao. hawa hawana haki ya kupiga kura.

..katika mazingira kama hayo naamini bado Gavana anaweza kuwa challenged humo ndani ya bodi kwasababu hana mamlaka ya kuteuwa board members. anayo mamlaka ya kumchagua makamu mwenyekiti toka manaibu gavana ambao wanateuliwa na Raisi kama yeye gavana.

..sidhani kama Gavana ana nguvu kubwa kiasi hicho. kitu cha kujiuliza ni kwamba ujasiri wa kufanya madudu yote hayo unatoka wapi? na huyu siyo gavana wa kwanza kufanya madudu.

Fundi Mchundo,

..nakubaliana na mawazo yako kwa kiasi kikubwa.

..lakini ili tufanikiwe inabidi tuchague wananchi ambao wana mawazo kama yako waende bungeni wabadilishe sheria zetu.

Tatizo ndio hapo. Wananchi hawachagui wabunge bali vyama ndivyo vinavyofanya. Wananchi wanatoa baraka tu kwa watu ambao vyama vinaona watalinda maslahi yao. Mtu mwenye mawazo kama yangu wananchi hawatapata nafasi ya kumpigia kura maana hamna chama kitakachompendekeza. Ndio maana hata hao tunaowaita wapiganaji inabidi wacheze karata zao vizuri wasiviudhi vyama vyao. Umuhimu wa kwanza unakuwa kwenye chama na si kwa wananchi!

Amandla......
 
rev kishoka wacha unafiki
unataka kuwapa lawama ndullu, mkullo na utoh halafu unamuacha swahiba wako JK?
2010 ni wakati wa kung'oa shina(JK) na sio watumwa wake.
vote out incumbents

Jamani Swahiba wangu mwacheni, nimeshamtukana sana, mpaka namuonea huruma sasa. si umeona machozi aliyoyatoa kwa Simba wa Vita? sijui ilikuwa ni dhamira inamsuta (guilty consciousness) au ni usanii!

Mwacheni ashikilie kwa miaka mingine mitano, ana sura nzuri, tabasamu la nguvu na kadiri anavyoendelea kutalii nje na kuacha kuongoza na kufanya kazi, ndivyo tunavyopata nafasi ya kujitambua udhaifu wetu na si kuogopa taasisi kama TISS na wengine kisa eti Rais mkali kama vile Kijeba Kipipa alivyofanya kwa miaka kumi akidai muwazi na msafi kumbe ni mchwa mwenye mkia wa ng'e!
 
Tatizo ndio hapo. Wananchi hawachagui wabunge bali vyama ndivyo vinavyofanya. Wananchi wanatoa baraka tu kwa watu ambao vyama vinaona watalinda maslahi yao. Mtu mwenye mawazo kama yangu wananchi hawatapata nafasi ya kumpigia kura maana hamna chama kitakachompendekeza. Ndio maana hata hao tunaowaita wapiganaji inabidi wacheze karata zao vizuri wasiviudhi vyama vyao. Umuhimu wa kwanza unakuwa kwenye chama na si kwa wananchi!

Amandla......

HUO HAPO JUU NDIO UKWELI WENYEWE..........tumeshuhudia watu wa aina hiyo wakitupwa nje ya siasa ........na hata wale tuliokuwa tukiwaamini either wametugeuka na kuungana na mafisadi......wale waliokua na misimamo yao wametupwa nje au wamesahaulika kabisa.............hii tabia ipo hata kwenye vyama vya upinzani.........inauma sana
 
Mie naomba niulize kikwete anahusika vp katika BOT??? Kwasababu a. Yeye anamteua mtu ambaye wajumbe wa bodi wamempendekeza, pia unapomteua mtu una rely na information in writing sasa sidhani alitoka from the state house kumfata ndulu kumwambia kuwa nakuteua uwe gavana hapa kuna watu wameshawishi

Labda Kikwete alaumiwe kwa mkulo kwasababu ni mwanasiasa mwenzie but si gavana. Wakulaumiwa hapa ni libodi libovu pale BOT ambalo tumeshudia madudu mengi wanapitisha bila ya kuwa waangalifu, pia waziri wa fedha kwa kutofatilia vizuri utendaji na rais Kama hajamtimua huyu jamaa kwasababu ashaonekana hatufai ana tamaa venginevyo mwaka huu ni change tu hamna zaidi zilianguka roman empires sembuse CCM.
 
Back
Top Bottom