Ndullu, Mkulo and Utoh Should be Fired!

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!

Infact add the whole BOT management and Board!
 
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!

Infact add the whole BOT management and Board!

Mchungaji naona umekuwa mkali kweli kweli bila kutueleza kilichokufanya utake hao akina knuckleheads wawe fired!

Naam Ndulu nilidhani ana msimamo wa maana baada ya madudu yaliyotokea Benki kuu lakini kumbe na yeye ni kichwa mbovu tu! Haingii akilini kwa kiongozi iwe wa Serikali ama Shirika atake kumiliki nyumba ya kifahari kwa kutumia fedha za wavuja jasho! Ama kweli Watanzania wanaonewa na kuoneana!

Nakubaliana nawe, kwa ubadhilifu uliotokea BOT wa kutumia bilioni za fedha kwa ajili ya nyumba ya mtu mmoja tu Board nzima inastahili kujiuzulu na kutakiwa warejeshe fedha walizoacha zikatumiwa isivyo halali. Mkulo angeliweza kujijengea jina kukemea vitendo vya ubadhilifu kama hivyo. Hayo yako ndani ya uwezo wake kama Waziri muhusika.
 
alikuwa naibu wa Balali unadhani yupo pale sasa kwa lengo gani?? maana hakuna mahala ktk ripoti kwamba Ndulu alipingana na maamuzi ya bosi wake Balali ktk kuchota hela. ila amewekwa kuondosha posible evidences zilizoachwa na aliyemtangulia. nilidhani Rais angemteua mtu mwingine from presiding board ya governess lakini akafanya backwards.
UTOH nina imani naye ila hana Meno kwani ripoti zake zimekuwa zinawekwa kapuni kila muhula
 
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!

Mkuu Rev, wawe fired kwa yapi, with what president with which audacity?. Mbona makubwa zaidi ya haya yameshafanyika huko nyuma, no one got fired!. Why now, why them?.
 
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!

Infact add the whole BOT management and Board!

Rev,

Yaani huto Tu-USD 2.4 Mil Tu...ndio tunakutoa macho kiasi hicho. Acha masihara Rev, kwa hii nchi hiyo ni hela ndogo sana.!!!!!

Hivi unajua kuna Msukuma mmoja aliwahi kuuza ng'ombe wake (yes, ng'ombe tu) akajipatia USD 1 Mil?? Ni muda mrefu sasa yule msukuma aliamua kuhifadhi "vijisenti" vyake kisiwani Jersey kwa usalama zaidi...maana benki zetu hapa Tanzania haziaminiki kabisa.
 
Wizi, uongo na uzembe ushakua utamaduni wetu hapa Tanzania. Infact, usipokua mwizi, muongo na mzembe watu watakuona wewe ndio "knucklehead".

Hawa jamaa wanaendeleza tu utamaduni wetu ili wabaki katika ajira. Otherwise, professionally, hawa watu wako very competent.
 
huyu Utoh ndo mambwembwe tupu kumbe nalo lijizi na lifisadi....linatoa macho tu badala ya kudhibiti mambo ya kutumia mahela yetu bila utaratibu...
 
huyu Utoh ndo mambwembwe tupu kumbe nalo lijizi na lifisadi....linatoa macho tu badala ya kudhibiti mambo ya kutumia mahela yetu bila utaratibu...

Kwa mila zetu za kiafrika, kama baba yako au boss wako ni mwizi/fisadi, humchukulii hatua yoyote.
 
Apart from what has been suggested here, which I strongly support, I also think there should be a separation between the Chairmanship of the Board of BOT and the Governor. All the messes that we are hearring at BOT are mostly caused by the BOT Board structure.
 
Nakubaliana na wewe asilimia MIA kwa MIA na kuongezea wajumbe wa Bodi ya Bot wasitoke wizara ya fedha kwasababu Kama wao wanadetermine mishahara na malipo ya board halafu Ministry for Finance inaidhinisha who supervise who????

Board zijengwe na experience bankers na prominent economist ambao wakiingia humowanadiscuss issuesna sio tunalipwa kiasi gani Leo.

Wafukuzwe Gavana na manaibu wake waletwe team mpya Hivi pale IFM au Udsm si wapo Ma economist wazuri tu kwanini wasiteue timu mpya ikaja kufanya kazi??? Napia wafukuzwe madirector wa Bot maana hawa ndio wanatafuna hasa fedha za Bot. Makampuni mengi uchwara yanayofanya kazi na Bot yanamilikiwa na hawa kupitiamlango wa nyuma

Kuhusu mkulo tunafahamu ufisadi wake nssf hivyo sina haja ya kujieleza kwanini akae kwani aliitafuna nssf karibu icollapse pengine amejirudi maana alipokuwamtaani alifulia ile mbaya. Nampa benefit of doubt
 
Apart from what has been suggested here, which I strongly support, I also think there should be a separation between the Chairmanship of the Board of BOT and the Governor. All the messes that we are hearring at BOT are mostly caused by the BOT Board structure.

Who appointed them? The President (Kikweke).
Who has powers to fire them? the same Kikwete.
The same Kikwete??? Yes.
Duh! Andikeni maumivu.

Myamba ur absolutely right about the laughable fact that the BoT Governor is also the Chairman of the Board.

Tanzanians, we are doomed.
Cast your vote wisely...
 
I also think there should be a separation between the Chairmanship of the Board of BOT and the Governor. All the messes that we are hearring at BOT are mostly caused by the BOT Board structure.

Hilo ni moja tu ya visababishi vilivyo vingi, ikiwemo kulelewa tu na wakubwa wao. Masuala kupelekwa kirafiki rafiki tu ndani ya mfumo wa serikali yetu.
 
Ndullu, aina ya maprofesa wengi wa kitanzania. Hawana msaada wowote kwenye kuiboresha hii nchi. Ni wapiga sound na mabingwa wa kutoa cv ndefu kutamba wao ni kina nani!
 
Ni muda muafaka sasa maprofesa wakazuiliwa kushiriki kwenye siasa!!wabakie mavyuoni tu..,uchu umezidi,alaah
 
Apart from what has been suggested here, which I strongly support, I also think there should be a separation between the Chairmanship of the Board of BOT and the Governor. All the messes that we are hearring at BOT are mostly caused by the BOT Board structure.

In my opinion, this won't change the way things are run at BOT. It's simply employment for one more Big Wig.

Kinachokosekana ni political accountability at senior government level. If the biggest shots in the land can be held accountable, they in turn will pile the pressure on the technocrats to perform.
 
Ndullu, aina ya maprofesa wengi wa kitanzania. Hawana msaada wowote kwenye kuiboresha hii nchi. Ni wapiga sound na mabingwa wa kutoa cv ndefu kutamba wao ni kina nani!

nakubaliana na wewe mkuu huyu jamaa alipochaguliwa alijisifu kwamba ndani ya muda mfupi atahakikisha anaimarisha shilingi ya tanzania lakini cha kushangaza hakuna lolote, wanafuja tu pesa za walipa kodi na kuishi maisha kama ya peponi
 
..nimeona Malawi na Kenya wana utaratibu kama wetu kwamba Gavana ndiye mwenyekiti wa bodi ya benki kuu.

..naibu gavana ni naibu mwenyekiti wa bodi kama ilivyo kwa benki yetu.

..pia wanafuata utaratibu kama wetu ambapo Katibu Mkuu Hazina ni mjumbe wa bodi ya benki kuu kutokana na wadhifa wake[ex-officio] na hana haki ya kupiga kura ktk vikao vya bodi.
 
Back
Top Bottom