ndugu zetu WAHINDI kumbe wanaogopa Mabaunsa

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Jamani ndugu zetu WAHINDI kumbe wanaogopa Mabaunsa
kiasi hiki hebu sikia hii; Jamaa mmoja Baunsa alikwenda
kuiba nyumbani wa Mhindi mmoja hivi anaitwa 'Ravji
Kumar' sasa wakati Baunsa anatoka nje akiwa na amebaba
TV akakutana na Kumar mlangoni mambo yakawa
hivi. KUMAR (pengine kwa kuogopa bodi ya baunsa):
Jambo Miji BAUNSA:Jambo sana KUMAR (baada ya Baunsa
kutokomea gizani): Jamani Kamata miji imeiba TV yangu
 
Mijii!!! Mijiii!!! Sikya Banakuba(polisi) miji ile kuba kabisa mili yake kuba kama namesa amira.macho nyekundu kama natumia manikchandi na kubar. Domo yake nanuka kama dengu ile haribika. Bana kuba tafuta hiyo chori mimi mpa veve kilo bili tatu ya sukari sikyaeee?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom