Ndugu zangu wa jf naomc 2msaidie huyu ndugu yangu!!!

Kama wadau walivyosema hapo juu, huyo dada kuna mahali alicheza karata zake vibaya (miscalculations). Ila bado ana nafasi.

Hivi kweli mtu anakuwa tayari amekaa kwenye ndoa na bado ana miaka 22 ina maana aliolewa akingari mtoto? Kwa nini wasichana wanafanya makosa makubwa namna hiyo? Tena si ajabu mume anamzidi kama miaka 10 hivi? Kwa maana nyingine msichana asiyejua maisha anaoelewa na jamaa ambaye tayari kamaliza mizinguko yoote ya majaribio!!

Hivi akina dada wanadhani ndoa ni mbio za marathoni kwama ukishinda unapata gold medal?

tatizo ni nyie wanaume unajua sana kudanganya watoto wa wa2 et unakuta mwanaume anakumbia huna haja ya kusoma mimi ninahela nitakufungulia biashara msichana ataacha kudanganyika kweli ukizingatia kusoma kulivyo kugumu
 
Wewe sasa unaleta siasa kwenye mambo muhimu yanayogusa maisha ya watu. Huyo mtoto hana wazazi? Hivi wewe unangeweza kukubali mtoto wako adanganywe na kuolewa katika umri huo? Kama wanaume ni waongo kiasi hicho basi hata baba wa mtoto ni mjinga asiyejua kuwa binti yake anaingizwa mkenge? Au labda aliamua kumfanya mradi yeye kugeuka mjasiriamali.

Hakuna sababu ya kulaumu wanaumu katika suala lilifikia kiasi cha ndoa. Kama ni mambo ya ngono tu na kusepa nitakubali hoja kama hii!
 
FP,

Hivi kuolewa ni dili namna hiyo? Ngoja niombe ruhusa kwa bibi nichangamkia toto dogo.....!!!

Hata kama ni shida hawa wazazi walizidisha sana!

Una pumzi babu? usije ukafia huko bure, hawa watoto balaa.................. kama wanaanza wakiwa f2.............
kwa kweli walizidisha hao wazazi
 
tatizo ni nyie wanaume unajua sana kudanganya watoto wa wa2 et unakuta mwanaume anakumbia huna haja ya kusoma mimi ninahela nitakufungulia biashara msichana ataacha kudanganyika kweli ukizingatia kusoma kulivyo kugumu

kuna mtu amekufa sababu ya kusoma? huko ni kutafuta shortcut wakati maisha hayataki hizo shortcut zao........................ mtu mpaka akuambie hakuna haja ya kusoma mbona yeye kasoma kama hakuona haja?
 
tatizo ni nyie wanaume unajua sana kudanganya watoto wa wa2 et unakuta mwanaume anakumbia huna haja ya kusoma mimi ninahela nitakufungulia biashara msichana ataacha kudanganyika kweli ukizingatia kusoma kulivyo kugumu

I smell kama jamaa alitumia udhaifu wa ndugu za binti kushindwa kuona mbali kwa kuruhusu binti aolewe at 18.
Kuna hii imani potofu ya kwamba mtu akishagonga 18 basi tayari ni MTU MZIMA, wakati ukweli ni kwamba ni kama mtoto aliyezaliwa leo ktk ulimwengu wa watu wazima.
Halafu pia I smell hata ndugu wa mwanaume nao ni WENDAWAZIMU. Kwetu sisi ukioa binti basi hata ndugu zetu watahakikisha humnyanyasi hata kidogo wife wako.
 
ehe! Halafu cha kushangaza binti alienda nyumbani kwa wazazi wa mwanaume na kuwaelezea matatizo yao lakini cha ajabu walimwambia we kama mumeo kakwambia uende kwenu we nenda ha2wezi kukusaidia
 
Kuna ndugu yangu kaniomba ushauri naomba munisaidie. Huyu ni msichana mwenye miaka 22 sasa ameolewa miaka 4 iliyopita tatizo lake nikwamba mumewe kamwambia akakae kwao mpaka atakapomuhitaji ataenda kumchukua. Ni hivi huyu dada alifahamiana na huyu kaka akiwa 4m two na waliendelea na mahusiano yao mpaka alipomaliza 4m 4 ndipo wakaoana. Walifanya bonge la harusi ya kikatoliki halafu huyu kaka anafanya kazi nje ya nchi. Kila baada ya miezi mita2 huwa anarudi kumjulia hali mkewe anakaa siku mbili ta2 then anarudi kazini. Akamfungulia mkewe stationary awe anaiendesha. Cha kushangaza baada ya mwaka akamwambie mkewe asiende kuwatembelea ndugu zake (mwanaume) mkewe akauliza kwanini? Akajibiwa nimekuambia usiende full stop. Sasa bahati mbaya kukatokea msiba akaamua kwenda halafu atamuelewesha mumewe. Akiwa huko mumewe akampigia simu akamwambia ukitoka huko nenda kwenu lakini alipotoka huko akarudi kwake basi hayo yakaisha. Baada ya kama mwaka akapata mimba kwa bahati mbaya mimba ikatoka. Kumwambia mumewe kuwa mimba imetoka mume wake akawa anamwita muhuni sana wewe mwanamke umetoa mimba yangu baada ya ya hapo mumewe akamwambia kuanzia leo sitak uende stationary tena nimeshatafuta m2 wa kusimamia na hiyo kadi yako ya bank mpelekee mama yangu maskini dada wawa2 akafanya kama alivyoambiwa baada ya muda mume wake akamwambia nenda kwenu nikirud nitakuja kukuchukua bint akaenda. mumewe aliporud hakwenda kumchukua alienda mpaka kijijini kwao na kurudi na m2 anayedai ni mamdogo wake akamwambia huyo mamdogo asafishe chumba baada ya hapo akampigia simu mkewe na kumwambia wewe ni mshirikina imekutwa hilizi ufunguni mwakitanda. Sasa huyu dada anaomba ushaur afanye nini na alikuwa na wadogo zake wawili aliokua akiwasomesha kupitia biashara yake ya stationary? Wazazi wake hawana uwezo na yeye ndo mtoto wakwanza. Msaidien tafadhali

Sijui kama kunalakufanya zaidi ya kumkilia Mungu! Na stori zenye mambo ya hivi zinawapata pia baadhi ya wanaume lkn nashangaa si mara nyingi kusikia zikiongelewa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom