Ndugu zangu Arusha Tech wameshatoa shortlist?

Nimeitwa na mimi ila sizani kantaenda kwasababu nimeshapata kazi nyingine afu post niliyoomba wameitwa watu zaidi ya mia afu anayeitajika ni mmoja tu so all the best kwa watakaopata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom