Ndugu wa Ahmed Msangi: Maisha yetu Hatarini; Hemedi Katumiwa!

Katika ushaidi alioutoa Dr. Ulimbona ni kwamba alihusika katika shambulio hilo, Na katika maelezo ya Dr. Ulimboka
alisema kwamba gari iliyomchukua Lidaz kuelekea Kwenye shambulio hilo lilikuwa mithili ya Toyota Staret! lakini
sisi tulio karibu na Ahmed Msangi tunajua gari yake aliyokuwa natumia kabla ya shambulio hilo ni Nissan March
ya rangi ya kijani ya kung'aa(green metallic) ambayo ni pacha na Toyota Staret, kwa wasio karibu sana na ufahamu wa magari wanazichanganya. Hivyo kwa maelezo hayo ya Doc Ulimboka fikra yangu ilisafiri sambamba na maelezo ya Doc. SU
 
Kwa mateso yale kwa binadamu waliomtuma na watekelezaji roho ya ukatil na laana haitawatoka ni kama wamekula nyama ya mtu.
 
tiss wanatafuta ni wakubwa gani wako nyuma ya sakata????...very interesting...kwa nini wasimuulize msangi??
Mkuu TISS ni pana sana,kuna maswali yakuulizwa Msangi na maswali ya kuulizwa ndugu zake msangi!
 
Mkuu TISS ni pana sana,kuna maswali yakuulizwa Msangi na maswali ya kuulizwa ndugu zake msangi!

Na kuna maswali ya wanandugu na wahanga wa Msangi aliowapasua pumbu kulr Usa River police station.Kituo kikuuu cha mateso Arusha. Akafie mbali huyu Mpare mshenzi
 
Episode ya ngapi? nimesahau..........Ina maana sterling hajulikani aliko au kubwa la maadui limechakachua movie!!!!!!!
Ndugu zake waache kutapatapa.Msangi ni mtu mzima mwenye akili timamu.hata kama alipata order kutoka kwa wakubwa zake haikuwa sababu ya yeye kufanya unyama alio ufanya.Mungu hatamsamehe kwakuwa tu alitumwa na wakubwa zake.he knows right and wrong.alikuwa na uwezo wa kukataa.Mungu alivyomkubwa hatawaachia waliotenda kosa lile.Wataadhibiwa hapahapa duniani,mmoja baada ya mwingine.Hakuna msalie Mtume hapo.Nawatakia members wote Heri na Fanaka za mwaka mpya.Mungu awajalie wote afya njema na kuzidi kusikiliza maombi yenu kila mmoja kwa kadri ya mahitaji yenu na Mungu aibariki nchi yetu nzuri Tanzania na ambariki kila mwenye nia njema na nchi yetu.Be blessed!
 
Huyu msangi alichokifanya alikuwa anakijua fika ila kwa sababu za njaa na tamaa zake alijua atakuwa milionea kwa kuitoa roho ya Ulimboka kumbe siku za kuishi Ulimboka bado zingalipo na pia Mungu Yehova ana makusudi yake kuhusu kutokufa Ulimboka na sisi watumishi wa Mungu tunaomba kila kukicha sukari na mchanga zijitenge na ndivyo itakavyotokea kwani tunamwamini Mungu aliyehai aliyewapigania Abednego, Shadrack na Meshaki wakashinda na hii ndivyo itakavyokuwa ,Dr tunaomba uendelee kukusanya ushahidi halafu uje ulipue bomu ukweli utajulikana na ww ucwe kondoo wa kafara kwani Mungu anatuambia tuwe wapole kiasi sasa kama ww utakuwa mpole kupita kiasi utashindwa kujikinga na maadui wa kiroho na kimwili pia
 
Back
Top Bottom