Ndugu Rais Kila siku safari?

anatafuta kuingia kwenye records za guines kuwa ni rais wa kwanza kutumia muda wake mwingi nje ya nchi yake na kutumia muda kiduchu sana kukaa ikulu ya nchi yake na kusolve matatizo ya nchi yake, pia ni rais anayependa sana promo kuliko marais wote waliopata kutokea duniani!
 
Kikwete anafikiri bado ni waziri wa mambo ya nje hamwamini Membe it is too much miguu yake inakuwa ka imelambwa na mbwa sijui lini huwa anakaa ofisini basi awe waziri wa utalii tujue moja......... kah ka Vasco da Gama vile tofauti havai yale mabuti
 
Tanzania and Turkey are expected to sign six agreements during the tour and President Kikwete is scheduled to be honoured with Doctorate Degree from Faith College of Istanbul.

What are those agreements?

Are they secret or open for public view?

Can and did Parliamentarians see and approve those agreements?

Can they see them?

Can they be posted in Tanzania government website, so that, we Tanzanians can read them and see how we can make good use of them?

Mlenge
 
Safari za nje ni muhimu, kama alivyopata kusema afisa mwandamizi kwenye serikali ya Kikwete kwamba inabidi safari ziwe nyingi, maana huko nje wengi walikuwa wanajua Kikwete ni Waziri wa Mambo ya Nje, asipoenda hawatajua kuwa sasa hivi yeye ndiye bosi mwenyewe!
 
VASCO DA GAMA

02_10_a92t26.jpg

Rais Jakaya Kikwete na mwenyeji wake, Rais wa Uturuki Abdukkah Gul, wakikagua gwaride la heshima muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Ankara jana asubuhi. (Picha na Freddy Maro)
 
Kwakweli Muungwana unatuchosha khaaaa!!!!! hutuliii???????????? yaani kwako kunafuka moshi bado kiguu na njia, we haya ngoja ujisahau ujikute unaishia huko uliko coz punde si punde wenye nchi tutajitwalia nchi yetu!
Amin amin nawaambieni,huyu jamaa hajawachosha hata kidogo,na hamta amini hili mpaka nyie wenyewe kwa kura zenu mtakapo mrudisha tena ikulu na kujidai mmelogwa!!
 
What are those agreements?

Are they secret or open for public view?

Can and did Parliamentarians see and approve those agreements?

Can they see them?

Can they be posted in Tanzania government website, so that, we Tanzanians can read them and see how we can make good use of them?

Mlenge
And can you plz deny your citizenship?
 
Yaani sijapata kuona Rais anayezurura ka JK! hivi haoni soni anavyotanua wakati nchi iko hoi karibu kila sekta? hao wanaodaiwa ni "PROMINENT BUSINESSMEN" wanagharamiwa na sisi walalahoi! halafu ukiangalia list ya hao Prominenet utakufa kabla ya siku zako!
Wakati kaingia madarakani alibeba hadi kina Johnson Rukaza(watuhumiwa wa EPA) kwenye hao Prominent!
 
Bila shaka Muungwana akisoma postings za JF kumhusu ni tabasamu tu tangu asubuhi hadi jioni kama kawaida yake. Kama namuona vile. The guy doesn't give a hoot about public opinion.
 
Yaani sijapata kuona Rais anayezurura ka JK! hivi haoni soni anavyotanua wakati nchi iko hoi karibu kila sekta? hao wanaodaiwa ni "PROMINENT BUSINESSMEN" wanagharamiwa na sisi walalahoi! halafu ukiangalia list ya hao Prominenet utakufa kabla ya siku zako!
Wakati kaingia madarakani alibeba hadi kina Johnson Rukaza(watuhumiwa wa EPA) kwenye hao Prominent!
Kasanga kwanza hawa prominent businessmen wanajigharimia, pili kusika epa hakupunguzi prominance ndio maana subhas amepewa tenda ya bilioni.
150 ya kilimo kwanza. Hii ndiyo Tanzania nchi yangu na JK raisi wetu hadi 2015!.
 
Anaenda kuleta biashara jamani... muacheni...lol.

Ukijaribu kuweigh faida ya kutumia hela hizo nyingi kusafiri kwa nchi ni hakuna hasara nadhani ni kubwa kuliko aida inabidi aangalie tu wanatuletea eti sababu ni kudumish uhusiano wa kideplomasia. Empty minds hawa watu lol
 
Attachments

  • 8E9U5331.JPG.jpeg
    8E9U5331.JPG.jpeg
    26.4 KB · Views: 34
  • 8E9U5381.JPG.jpeg
    8E9U5381.JPG.jpeg
    26.6 KB · Views: 30
Kikwete leaves for Turkey, Jordan

PRESIDENT Jakaya Kikwete left for Turkey today, where he will be on a three-day official tour at the invitation of his counterpart Abdallah Gul.

A statement issued today by the Directorate of Presidential Communication said that President Kikwete is accompanied by the First Lady, Mama Salma and several prominent businessmen in the country.

President Kikwete is, among other things, expected to hold talks with the Turkey's Prime Minister, Mr Recep Erdogan, meet leaders of business associations and African diplomats based in Turkey.

Tanzania and Turkey are expected to sign six agreements during the tour and President Kikwete is scheduled to be honoured with Doctorate Degree from Faith College of Istanbul.

President Kikwete will on Sunday fly to Jordan for another three-day state visit at the invitation of King Abdallah II.

CHANZO: DAILY NEWS

umesahau kama nchi yako masikini...rais heshi kiguu na njia kwa kuomba omba nchi zilizo endelea...sasa anawaomba waturuki wasaidie sekta ya elimu ya juu tanzania...amewataka wafungue university...
 
umesahau kama nchi yako masikini...rais heshi kiguu na njia kwa kuomba omba nchi zilizo endelea...sasa anawaomba waturuki wasaidie sekta ya elimu ya juu tanzania...amewataka wafungue university...

Mbona anachokiomba hatukioni???????? mie nawalaumu saaaana wasomi waliomzunguka kwani hamumshauri hata kidogo, hivi kabla hajaondoka mlimjulisha kuna wapiga kura wake wamechinjwa huko MOSOMA?????????
 
Back
Top Bottom