Ndugu Rais Kila siku safari?

Prodigal Son

JF-Expert Member
Dec 9, 2009
1,067
696
Kikwete leaves for Turkey, Jordan


PRESIDENT Jakaya Kikwete left for Turkey today, where he will be on a three-day official tour at the invitation of his counterpart Abdallah Gul.

A statement issued today by the Directorate of Presidential Communication said that President Kikwete is accompanied by the First Lady, Mama Salma and several prominent businessmen in the country.

President Kikwete is, among other things, expected to hold talks with the Turkey's Prime Minister, Mr Recep Erdogan, meet leaders of business associations and African diplomats based in Turkey.

Tanzania and Turkey are expected to sign six agreements during the tour and President Kikwete is scheduled to be honoured with Doctorate Degree from Faith College of Istanbul.

President Kikwete will on Sunday fly to Jordan for another three-day state visit at the invitation of King Abdallah II.


CHANZO: DAILY NEWS
 
Ndugu Rais,
Ni kwa nini safari zinakuwa nyingi saana, ni kwanini usitumie uwezo wako mwnyezi Mungu aliokujaalia ukatupatia ufumbuzi wa,
1- Wizi wa vocha za pembejeo
2- Suluhisho la msuguano ndani ya CCM???????????????????????

Pesa za hizo safari si zingeweza kusaidia urejeshwaji wa miundombinu ya reli, wahanga wa mafuriko Kilosa, saidia familia za waliochinjwa huko musoma??????????
 
Kwakweli Muungwana unatuchosha khaaaa!!!!! hutuliii???????????? yaani kwako kunafuka moshi bado kiguu na njia, we haya ngoja ujisahau ujikute unaishia huko uliko coz punde si punde wenye nchi tutajitwalia nchi yetu!
 
Once a LOOSER, always be a LOOSER. The status quo will always be the same until we kick them out of office.
 
This guy is pathetic!! Yaani kwa kweli hizi safari zake kwa miaka 5, lazima zingeweza kujenga sekondari, kituo cha afya, shule ya msingi na mahakama kwenye kila wilaya ya nchi hii na zaidi.

JK pse save hela za wananchi na acha matumizi yasiyo ya lazima!!

Mbona mnashindwa kufurnish mashule na mahospitali huko vijijini??
 
Anajiandaa na uchaguzi wakuu, muacheni mtalii mkubwa duniani na akimaliza mda wake ahamie huko huko manake naona kama anakimbia shida za nchini kwake.au bado anatafuta wawekezaji?

mie naona bora angebadirishana vyeo na Membe hili safari zake watu wasihoji.
 
ki ---------kw----e----te-----

jana lake lilipaswa liwe linaandikwa hivyo
 
Huyu sasa amezidi. Yaani kila mwaliko anaoupata lazima aende! Delegation yake pia inakuwa na watu wengi kuliko kawaida. Huyu ni playboy kweli kweli.
 
Mm sishangai sana kwa safari za huyu bwana mkubwa kwani ni moja ya burudiko lake,kwani hata akiwa dar tunaona anavyotupa tabu watembea bila vingora,akishirikiana na mama Salma, by the way huyu sijui ni Rais wa namna gani kwani leo kwenye gazeti la mwananchi nimeona picha anafungua petrol station sasa sijaelewa anamaslai nayo au waziri wa nishati na madini au pia mkurugenzi wa mamlaka ya nishati alikuwa na shughuli nyingi kupindukia akaamuwa kuwasaidia,au kiuchumi hiyo petrol station inachangia vipi pato la taifa, I thick inabidi tuwe makini, but najiuliza miaka mitano ni hivi ile ya kumalizia itakuwaje. Tusubiri.
 
Mm sishangai sana kwa safari za huyu bwana mkubwa kwani ni moja ya burudiko lake,kwani hata akiwa dar tunaona anavyotupa tabu watembea bila vingora,akishirikiana na mama Salma, by the way huyu sijui ni Rais wa namna gani kwani leo kwenye gazeti la mwananchi nimeona picha anafungua petrol station sasa sijaelewa anamaslai nayo au waziri wa nishati na madini au pia mkurugenzi wa mamlaka ya nishati alikuwa na shughuli nyingi kupindukia akaamuwa kuwasaidia,au kiuchumi hiyo petrol station inachangia vipi pato la taifa, I thick inabidi tuwe makini, but najiuliza miaka mitano ni hivi ile ya kumalizia itakuwaje. Tusubiri.

Huyu mpaka guest house anafungua. From my little experience sijapata kuona "rahisi" mwenye muda mwingi kwenye mambo ya ajabuajabu lakini pia asiye na muda kabisa kwenye mambo muhimu kama huyu baba wa bagamoyo. Hii imekula kwetu live bila chenga and this is very sad c kwetu bali kwa vizazi kadhaa vijavyo.
 
Anakimbia matatizo ya nchi!! Msaidieni kumshusha amenasa kwenye lifti ghorofa ya kumi na nne!!!
 
Akirudi anaenda SA,nakumbuka msemo wa zamani kwa mtu ka mjomba tunasema MIGUU INAWASHA........Teh tehhh teeehhh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom