Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
Imefika mahala nadhani tusameheane, tuanze upya na tusonge mbele kama NCHI?
Inaweza kuwa solution!bs'e the way i see,everything looks complicated
Imefika mahala nadhani tusameheane, tuanze upya na tusonge mbele kama NCHI?
MM Mwanakijiji,
Jibu unalo Mwanakijiji! Kujua kwetu ni kuamsha "Cheche" za fikra na siku moja kuchukua hatua-hata kama ikiwa kuchukua sheria mikononi kwetu. At worst, it will be on the record for the future generation-who can not forever be put down by the perpetrators.
Au tunaweza kuamua kurudi nyuma na kuanza upya kupitia hatua tano za maendeleo-kuanzia ujima.Nchi nyingi zilizoendelea,EUROPE AND EVERYWHERE.haki ilipatikana baada ya kumwaga damu nyingi!na wanaokula matunda ya hiyo damu ni uzao uliofuata!
Sasa mimi pia nimeshawishika sana kuamini solution ambayo mkuu ameitoa,'the bolded one'
Nchi nyingi zilizoendelea,EUROPE AND EVERYWHERE.haki ilipatikana baada ya kumwaga damu nyingi!na wanaokula matunda ya hiyo damu ni uzao uliofuata!
Sasa mimi pia nimeshawishika sana kuamini solution ambayo mkuu ameitoa,'the bolded one'
kama mnakumbuka Waziri Mkuu alisema suala la Meremeta haliwezi kujadiliwa hadharani. Sisi (Cheche) tumeamua kuliweka hadharani. Sasa hapa tunapima kwanza legal ramifications za kitendo chetu hicho ambacho kimsingi kinaendana na dhana muhimu katika nchi ya kidemokrasia yaani public intergrity.
Kwa vyovyote vile ilivyo by the end of next week.. kila kitu kitakuwa kimekamilika; yaani, njia ya malipo, delivery, conditions za mtu kupatia (siyo kwa sababu mtu amelipa tumehamisha haki zetu kwake)n.k Na kubwa zaidi ni la kuhakikisha kuwa kutokana na kazi ngumu timu yetu imefanya ili kulijulisha taifa "uozo wa hatari" wa siri hii watu wengine wasije kuanza kuchapa na kusambaza kana kwamba ni za kwao. Hivyo.. hii report kama zile mbili za nyuma (On Tanzania's Role's in Arms Trafficking and Open Letter to the British Gvt that was partly read in the House of Commons) zitakuwa zinalindwa na Haki Miliki.
Sisi wenyewe tuko matumbo joto... pressure inapanda, pressure inashuka.. kijasho chatiririka..
Kumwaga damu si suluhisho la uongozi mbovu; ukishamwaga damu mara moja hukomi. Ndio maana taifa kama Marekani lililozaliwa kwa umwagaji damu halioni kazi kubwa kumwaga damu. Kenya walimwaga damu na bado wakati wowote wanaweza kumwaga damu.. Zanzibar damu ilishawahi kumwagika kabla ya mapinduzi ya 1964 matokeo yake.. ni rahisi sana kujirudia; Urusi vivyo hivyo.. Pakistani/India vivyo hivyo..
Nenda Iraq ni hivyo hivyo... !
............NOT UNTIL WE ELIMINATE CCM INTO POWER!kani and according to me,sisiemu haiondolewi madarakani DIPLOMATICALLY!angalia namna wanavyotumia mabavu kushinda chaguzi ndogo!NO WAY BWANANjia ya uhakika ya kuleta mabadiliko ni kushinda hoja dhaifu kwa hoja zenye nguvu, kuamsha fikra za mwamko mpya wa kitaifa na kuchagua njia iliyo bora zaidi. Njia ya nchi kama Uswisi, Norway, Denmark, na chache nyingine.!
mwanakijiji i would like to have clarifications on this idea,please!naona kama umeniacha njia pandaTanzania ni nchi pekee ambayo katika Afrika ilizaliwa kutoka kwenye wazo (idea). Bahati mbaya sana idea hiyo tumeikana tukiamini kuna njia bora zaidi. Ni lazima kurudi kwenye ile idea which was and still is a Tanzanian Experiment. It is an experiment that we have abandoned and now we see its ugly results.
Unless we return to the very foundations of our republic we will continue to dance the ukutiukuti of leadership and be cast all over in the wave of uncertainty. Unless we challenge our rulers, expose their weakness (political, intellectual and ideological as well as systematic) we will continue to elect the same failed leaders hoping next time they'll get it right.!
practically WE CANNOT!as long as ccm will remain into powerYes.. we can!
Hili la Meremeta kwa mfano hivi likishatoka na kuwekwa hadharani na kuanikwa juani kama mahindi ya kukobolewa ambayo harufu yake hupeperushwa kwenda mbali na upepo wenye vumbi na watu wakajua halafu kitakuwa nini? Kama wabunge waliamua kutokujua na Spika akakubali wasijue na Waziri Mkuu na Sumari wote wakihakikisha watu hawajui sasa sisi tukilifanya lijulikane tunafanya hivyo kwa faida gani?
Tanzania inakwenda wapi? naogopa