Ndugu January Makamba - New website

Kaka wa 'Mtoni'

Hapa tunajadili kuhusu performance na track record zipi? maana siasa za Tz ni makundi sio mtu mmojammoja.

Thinker,

Yeah, makundi tu mkuu. Kuna wabunge wa viti maalumu wanakwenda kusikiliza wezao walonga nini bungeni. Lakini nao wanatupa mistari kwenye facebook. Na makundi mengine yamekuwa Tanzanian Royal family Tayari.
 
Thinker,

Yeah, makundi tu mkuu. Kuna wabunge wa viti maalumu wanakwenda kusikiliza wezao walonga nini bungeni. Lakini nao wanatupa mistari kwenye facebook. Na makundi mengine yamekuwa Tanzanian Royal family Tayari.

Sawia kaka,

Wengine ndio kama hivi wanaandika tovuti kwa kingeredha..halafu wanataka tuamini kwamba it is all about wanakijiji well-being. Ukimuuliza hio site ina objective ipi na mlengwa ni nani inakua tabu kujibu maana contradiction is there right in the face.

Ishu ya collectivity inazuia originality na mawazo mapya. Ndio maana wengine tunaona usanii tu mtu ati ni mbunge wa CCM halafu yet anaimba mabadiliko. It is all nonsense and waste of time.
 
aweke effort kubwa kutangaza jimbo lake zaidi na sio kutangaza jina lake kupitia jimbo lake.

mshaurini hata web yake aipe jina la bumbuli.org au bumbuli.com
 
Jaman tupunguze chuki na majungu...
Kama mtu kafanya vzuri tumpongeze, sio kisa yupo CCM then the whole thing is taken negative. Tuache ushabiki.

Wakati analaunch site yake alisema kuwa, anamalizia contents za Swahili Version, then ataweka- alisema hayo kwenye Michuzi blog.
Apart from that, ile ni person website yake yeye kuongea na jamii yote sio Bumbuli tu, amegusia mambo ya bumbuli kuonyesha anachofanya sasa.

Bumbuli watakuwa na website yao hivi punde: Bumbuli Development Corporation... Coming Soon!

Binafsi ameniinspire sana, anaonekana ni Mtu mwenye akili. Big up January Makamba.

Soma: januarymakamba.com/mystory.html
 
aweke effort kubwa kutangaza jimbo lake zaidi na sio kutangaza jina lake kupitia jimbo lake.

mshaurini hata web yake aipe jina la bumbuli.org au bumbuli.com

Mkuu, tayari anadomain ya bumburi.org, you can check it out. But the whole website is underconstruction.
Apart from yeye ni Mbunge, tusisahau kuwa yeye pia ni mwanajamii na anaperson life yake na vitu ambavyo angependa kushare ana jamii, so mi sion kama nitatizo kuweka story yake kwenye website yake.
 
Kwenye hiyo web yake amenishangaza anajidai alikua anaongoza halafu mwisho wa siku akafeli na ku-resit. Ni kilaza sasa ana-justify kwamba alikua mzuri darasani? Siasa za Tanzania bado sana! Halafu eti kilaza ndo anakua msaidizi wa Raisi halafu mnashangaa kwanini Raisi hajui kwa nini nchi yake Maskini.
 
Jamani, hata ukimchukia sungura wakati mwingine inabidi ukubali kwamba anaweza kukimbia!!! Na mimi pia nimeipitia website yake na sidhani kama mnamtendea haki mnapomponda hivo. Website imetulia, ukiacha typos kidogo sana. Na amesema it is still work in progress na kwamba version ya kiswahili iko mbioni. I am not his fan na wala si mwana CCM lakini inatubidi vijana tufike mahali tutambue kujituma kwa wenzetu hata kama tumepishana kiitikadi. Kijana amejitahidi, tumpongeze na inapobidi tumuunge mkono. Maana ya upinzani siyo kupinga tu hata mazuri.

Aisee, bora wewe umeona ndugu yangu.
Inasikitisha sana kuona watu wanamitazamo ya ajabu-chuki tu!

Naamini watu wengi humu ni wasomi, ila nashangaa kuona wanaushabiki wa ajabu, watu wazima kufuata upepo ni aibu sana. I wish kila mtu angetumia jina lake halisi kama Dk. slaa, heshima ingekuwemo humu. maana watu wa hovyo, akishaona yupo anonymous basi ataandika upuuzi tu.
Tubadilike sasa..!
 
Back
Top Bottom