Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,462
- 154,344
Jamani nimeitembelea hii website ya mbunge wa Bumbuli,
Kilichonistaajabisha ni lugha yake aliyoitumia kuwasiliana na wananchi wake.
Siku hizi unaweza kuperuzi intaneti hata kwenye simu ya kiganjani.
mbunge wa bumbuli anaongea na watu wake kwa lugha ya Kiingereza,
sijui ni wananchi wake wangapi wanaielewa kwa ufasaha lugha hiyo?
mi nadhani tovuti hiyo ingekuwa ya lugha mbili Kiswahili na Kiingereza ingefaa zaidi.
Aibadilishe ili iweze kukidhi mahitaji ya wananchi wa Bumbuli wenye kiu ya kujua mipango ya kila siku ya mbunge wao kupitia mtandao wa intaneti.
January Makamba.com