ndugu acheni roho mbaya kuweni na upendo

Chokochoko

JF-Expert Member
Oct 15, 2011
438
183
Naombeni ushauri wenu wanajamvi, ni hivi kwenye familia yetu ya upande wa mama tumezaliwa watano
wanawake watatu na wanaume wawili , hao wanne wa mwanzo yaani wavulana wawili na hao
wasichana wawili ndio watoto wa mwanzo miniwamwisho kwa mama, na baba yangu ni mwingine
mama alivyoolewa aliwazaa hao watoto wanne wakajawakatengana baadae saana ndio akaja kunizaa mimi
mama alitulea kwa upendo wa hali ya juu wala hakutuonyesha tofauti zetu alituthamini wote lakini cha ajabu nachakushangaza ni
hawa ndugu zangu hawanipendi nami ni mdogo sana kwao nanilianza kugund
ua hii toka nikiwa mdogo sana kama 6yrs hivi kwa dada mmoja kati ya hawa wawili alikua anichukia live
ila mimi sikua natambua ile ni chuki lakini watu wazima wa karibu walikua wanaona na kuelewa ni mambo mengi
yalifanyika yakuninyanyapaa kwavile nilikua mdogo nilijua naonywa labda na mama alikua anaingilia sana akiona
naonewa na wote nalikuwa wanambeza mama kuwa anitetee tuu, haya maisha yaliendelea hatimaye tumekuwa watu wazima na mambo ya zamani nilishayasahau nawathamini wote kama ndugu zangu nawapenda watoto wao kama watoto wangu hata wao wamejua, kumbe najidanganya kwa sababu nimepata mtihani kidogo tuu kwenye maisha nimeshangaa
wameungana nakunitenga sio wakiume sio wakike wanafurahia hadi mama ametoa laana kwa mmoja
maana amesikitishwa sana kwa vitendo vyao ukizingatia mimi ni mdogo sana kwao maana wamenipita zaidi ya miaka kumig
nimeiona hii hali nikakumbuka zamani nilikua naambia na watu ndugu zangu wanaroho mbaya sikua
naelewa pengine walikua wanaona mambo wanayonitendea au kuniongelea au kuniombea
nimeamini kuzaliwa tumbo moja haina maana mtapendana kama ndugu, wao jambo likiwapata wanaungana mara moja
nakubebana wakiwa na shida nawasaidia kama ndugu zangu kumbe nilikua najidanganya nina ndugu
sasahivi nimejigundua scina ndugu niko peke yangu ni mamayangu na babayangu tuu ndio wanaoweza kunithamini,
nimeamua nijitenge nakujihesabu sina ndugu heri niwakane kabisaa uhusiano wetu niuuwe.
Ndugu zangu wa e
wana jf mnanishatije?
Maana hawa watu wakipata bomu lakuniua wanaweza
nilipua nife bureee.

0

b

0
 
anayekuthamini ndo ndugu yako.........
Kama mmezaliwa tumbo moja na hawakuthamini achana nao.....................
Heri umthamini mtu baki ambaye anakujali na kukuthamini kuliko mliyezaliwa tumbo moja ambaye hakupendi na kukujali....
 
kweli kabisa nashukuru sana mluu
 
Achana nao wala wackupe presha cha mcng pambana na maisha yako ndugu c lazma mzaliwe 2mbo moja. Ndugu ni yule anaekujal na kukuthamin. Songa mbele mungu yu pa1 nawe.
 
Achana nao wala wackupe presha cha mcng pambana na maisha yako ndugu c lazma mzaliwe 2mbo moja. Ndugu ni yule anaekujal na kukuthamin. Songa mbele mungu yu pa1 nawe.
kwakweli, nashukuru sana
kwakunifariji.
 
Pole sana mwaya,acha kuwafikiria sababu utaishia kuumia we wasamehe toka moyoni kwa hizo chuki zao....halafu songa mbele ila hakikisha shida/raha zako hawazijui yani wakuone tuu . wanasemaga udugu si kufanana bali kufaana....Mungu atakusaidia you just be strong and you gonna make it rite!
 
Pole sana, mthamini atakayekuthamini asiyekujali achana naye. Angalia maisha yako na watoto wako.
 
We endelea na maisha yako ila usiwadharau wala kuonyesha kuwachukia, na watoto wao endelea kuwapenda kama kawa,
Hao wanakuongezea kipato na siku za kuishi. Lipa wema kwa ubaya waliokufanyia.
 
Nilitegemea watu walioshare baba ndo wawe na ubaguzi wa hvo,kumbe hata walioshea mama nao huwa wanabaguana!pole mwaya,fuata maisha yako 2.
 
Usijichoshe akili utaumia kwa fikira,kama unaona kuanao mbali ndio itakupa faraja kwako fanya hivyo,na wala usijisumbue kuwaongelea kwani ukiwataja ndio wanazidi kukupa stress..wana JF pia ni ndugu zako sio lazima sote tuonane sura ili tujuane lakini kupeana mawazo na faraja pia inatosha.....
 
Pole sana mwaya,acha kuwafikiria sababu utaishia kuumia we wasamehe toka moyoni kwa hizo chuki zao....halafu songa mbele ila hakikisha shida/raha zako hawazijui yani wakuone tuu . wanasemaga udugu si kufanana bali kufaana....Mungu atakusaidia you just be strong and you gonna make it rite!
thanks!
 
We endelea na maisha yako ila usiwadharau wala kuonyesha kuwachukia, na watoto wao endelea kuwapenda kama kawa,
Hao wanakuongezea kipato na siku za kuishi. Lipa wema kwa ubaya waliokufanyia.
kweli watoto wao mimi hata
siwachukii nawanajua nawapenda tena wanadiriki kuambia vitu ambavyo wazazi wao wananiongelea
 
Nilitegemea watu walioshare baba ndo wawe na ubaguzi wa hvo,kumbe hata walioshea mama nao huwa wanabaguana!pole mwaya,fuata maisha yako 2.
nikweli kwa watu walioshea
mama inaaibisha kuchukiana ila hawa hata ndugu walio shea kwa baba yao wanawachuki a pia.
 
Usijichoshe akili utaumia kwa fikira,kama unaona kuanao mbali ndio itakupa faraja kwako fanya hivyo,na wala usijisumbue kuwaongelea kwani ukiwataja ndio wanazidi kukupa stress..wana JF pia ni ndugu zako sio lazima sote tuonane sura ili tujuane lakini kupeana mawazo na faraja pia inatosha.....
kweli jf ni kila kitu ninafurahia sana kuwa member wa jf kila siku, mimi siwaongelei ubaya wao kwa watu ila wao wananiongelea
vibaya kwa watu mpaka wanizushia maneno mazito ili nionekane firauni mbele za watu. Ila nimekaa kimya tuu
kama sisikii na wanayojua nimeyasikia bado niko kimya tuu, maana kuna kauli inasema 'silence speak more
louder than a word'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom