Ikwanja
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 2,082
- 581
Kwa masikitiko makubwa baadaya ya pumba za Nchemba, Naibu spika amawaambia wabunge wa Magamba kuwa wao jhatakiwi kwa namna yoyote ile kupinga bajet ya chama chao bali wao wanatakiwa kutoa ushauri tuu, sasa wadau naomba kuuliza. kwa mtindo huu kuna bunge kweli? inamaana wote waliosema hawataunga mkono ni geresha tuu??
My Take: Naona upuuzi huu wa magamba ukiendelea tunakolekea ni kubaya, mi napendekeza kuwa makamanda baada ya Bunge muwahamasishe wananchi kuhusi kauli hii na ikiwezekana mfikishe na audio ya huyo Ndugai.
Nawasilisha