Ndugai: Hoja ya Mnyika imejichakachua yenyewe

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Ni ile inayohusu kutangazwa kwa mgao wa umeme kama Janga la Taifa! Mh Mnyika alitoa hoja hiyo wakati akisoma Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na kudai kwamba Bunge lisipopitisha Azimio kambi hiyo itaitisha maandamano nchi nzima! Nionavyo mimi huyu Ndugai ametumia "technical knock out" kuizima hoja ya Mnyika kwa sababu ni Spika ndiye aliyetakiwa kuuliza kama kuna wanaounga hoja mkono na sio mtoa hoja yaani Mnyika, badala yake Ndugai amedai kwamba eti "hoja imeishia hewani" na "kujichakachua yenyewe!" Tujadili!
 
hata mimi nimemmshangaa,unapopewa ofa ya kwenda london kutalii na kupata miposho lazima uwalinde mafisadi wenzako,...mbowe atachangia jioni lazima atalitolea ufafanuzi,...bunge linaendeshwa bila spika
 
Maandamo tayari yameshapangwa ni tarehe 24/7/2011 full stop. hakuna kusubiri maazimio
 
Maandamo tayari yameshapangwa ni tarehe 24/7/2011 full stop. hakuna kusubiri maazimio
Ilikuwa ni hoja ya kutangaza umeme kuwa Janga la Kitaifa, labda kule Kongwa kwa Ndugai hawana shida ya umeme!
 
Tuwe na subira wanajamvi baadae mhe mbowe atalitolea ufafanuzi. Mungu hawezi kamwe kuwa ni wa ccm magamba maisha yote. The days are numbered.
 
Ilikuwa ni hoja ya kutangaza umeme kuwa Janga la Kitaifa, labda kule Kongwa kwa Ndugai hawana shida ya umeme!
hawana shida yoyote elimu na umeme na mahospitali yako fresh. Madawa na madaktari wapo kibao watu wengi sasa hivi wanakimbilia kwenye hilo jimbo .. Umeme wa mgao kwao ni ndoto
 
Yeah....hawana shida ya umeme kwa sababu haupo. Na bahati mbaya wakati wa kujadili tatizo la mafuta ya taa yeye hakuwepo,.. alikua London. Poleni watu wa Kongwa!.
Ilikuwa ni hoja ya kutangaza umeme kuwa Janga la Kitaifa, labda kule Kongwa kwa Ndugai hawana shida ya umeme!
 
hawana shida yoyote elimu na umeme na mahospitali yako fresh. Madawa na madaktari wapo kibao watu wengi sasa hivi wanakimbilia kwenye hilo jimbo .. Umeme wa mgao kwao ni ndoto

Mkuu ni huko kwa Ndungai? Kwani kuna serekali tofauti na huku kwetu maana kwetu hawatujali !
 
hawana shida yoyote elimu na umeme na mahospitali yako fresh. Madawa na madaktari wapo kibao watu wengi sasa hivi wanakimbilia kwenye hilo jimbo .. Umeme wa mgao kwao ni ndoto

Huenda ni kweli lakini wamekosa Daktari wa Macho tu.
 
Kongwa imechoka sana,barabara ni vumbi,vijumba vyenye umeme vinahesabika,hospital na shule ni balaa ila kinachosaidia wananchi wengi ni wajinga na hawajaelewa haki zao.wakati wa kampeni hupewa pombe na kanga.hata jimbo la chawene hakuna kitu pombe ndo huwapa kura.cdm waamsheni wananchi wa dodoma mji utakuwa masikini daima.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom