Ndugai akataa hoja ya Lissu

haaa haaa haaa mesage sent maana mpaka umepaniki,nitakua mkweli daima,sitaruhusu itikadi wala ushabiki vinifanye nisiwaze kwa mapana na kuamua,kudandia mada bila kutafakari ni utoto sana,pole kama unashirikisha makalio cku ukiamaua kufikiri

Kaka wewe mchango wako kimawazo pia una itikadi ndani,kwa watu wenye kujua 2nakuambia unadhan unachangia vizuri kumbe kwangu nakupa zero..listen kwa Taifa lolote Duniani usalama wa Raia wake ni kipaumbele zaidi ya chochote..ingefaa wabunge wajadili ili watoe mawazo na majawabu ya ajali hz za mara kwa mara na kuziepusha kutokea tena..bajeti zitapitishwa 2 kushusha bendera sio jawabu la ajali
 
Sasa hata sisg magreat thinker unataka kutudanganya wewe gamba? Manake hoja ulizozitoa hapo juu hata umdanganye nani wewe ni gamba tena gamba kuu. Na utoe upumbavu wako hapa wakati watu wanakufa kila mara kwa sababu ya serikali dhaifu

Wewe nawe umejipa cheo cha great thinker?haaa haaa haaa no wonder we have poor leaders coz wanatoka miongoni mwenu,we hangaika upate chako na wanao utaishia kulalama na kua na matumaini hewa,namuaomba mungu na kufanya kazi kwa bidii kamwe sitaweka tumaini langu kwa binadam yeyote
 
hili nalitambua ugomvi wangu na wanasiasa ni unafiki na ndo maana kamwe siwezi kumsuport mwanasiasa hata siku moja kwani mwisho wa siku utakutumia kufikia ndoto zake na kesho atakuja na sababu za kukushawishi kwanini hakutekeleza aliokuahidi,haya yote ya nini, mie bora nifanye mishe zangu za pesa baaaasi
Hapo bado hujaeleweka unafk wao unauchangia wwe kw sbabu hutak kuhoji hata hvyo mwsho wa sku pesa unayotafuta mwanasiasa anachukua kodi na anakupangia bei ya bidhaa katika mahtaj yako ya kila siku
 
Kaka wewe mchango wako kimawazo pia una itikadi ndani,kwa watu wenye kujua 2nakuambia unadhan unachangia vizuri kumbe kwangu nakupa zero..listen kwa Taifa lolote Duniani usalama wa Raia wake ni kipaumbele zaidi ya chochote..ingefaa wabunge wajadili ili watoe mawazo na majawabu ya ajali hz za mara kwa mara na kuziepusha kutokea tena..bajeti zitapitishwa 2 kushusha bendera sio jawabu la ajali
hakuna mpya hata wakijadili jamani,cha msingi ni kua uzembe umetokea na watu wawajibishwe kwa sheria zilizopo wale wote waliohusika,ukweli ni kua watu hawawajibik ndo maana haya yanatokea sio ishu ya kujadili tena swala liko wazi wamalize vikao vyao waondoke wasitake kurefusha muda dodoma na kula posho za ziada
 
Hapo bado hujaeleweka unafk wao unauchangia wwe kw sbabu hutak kuhoji hata hvyo mwsho wa sku pesa unayotafuta mwanasiasa anachukua kodi na anakupangia bei ya bidhaa katika mahtaj yako ya kila siku
hawa CCM hata kodi hawachukui sasa si tutumie iyo advantage tufanye yetuuuuu,mlioajiriwa ndo piganisheni huko mshushiwe kodi ila sie biashara lol mungu atupe nini
 
zIPO MAMLAKA HUSIKA KUSHUGHULIKIA JAMBO HILI,SIO KILA KITU BUNGE ISHUGHULIKIE HUKO NI KU UNDERMINE VYOMBO VINGINE,MLIO WENGI U DONT EVEN THINK MNADANDIA TU NA KUHISI U KNOW WHAT UA TALKING,MZALENDO ALIKUA NYERERE TU HAWA WENGINE WOTE WHETHER WAKO CCM AU CHADEMA NI WEZI WALEWALE THATSWHY I HATE POLITICS

janga la kitaifa
 
Back
Top Bottom