Ndugai aelezea kwanini alimwita Mdee 'kituko'

Kama kiongozi, hasa wa bunge, he is responsible to act accordingly whether provoked or not! Na kuongelea provocation iliyotokea badala ya kukiri kuwa he acted unprofessionally, that makes him really unprofessional. Sorry, nasahau hakuna kitu kama professionalism kwenye gutter politics.

sure King'asti
 
Shukrani Yahya M kwa kuongeza muda wa ziada ili swali lijibiwe
 
Mkuu unakusudia "kidole chuji!!?

Au kidole Mrwanda!

attachment.php
 
Job anazidi kujishusha chati..??? Kwanini asisubiri chati ishuke yenyewe kama itabidi?? Kwa jinsi mambo yalivyo huyu atatoka ulingoni mapema kuliko anavyofikiri na mwingine anayefanana naye ni Mwigulu..
 
Mkuu, sikujua kama na wewe ni Mheshimiwa Mbunge, na ulikuwemo mjengoni na ukamuona Halima 'akibinua vidole'. Au wewe ni miongoni mwa wale askari waliomtoa nje Machali?
sehemu ya kuonyesha dharau ilitolewa katika taarifa ya habari na hao hao Star tv, ni vigumu kuliendesha Bunge la namna hiyo kwani hata Charles Bonoface Mkwasa aliishindwa timu ya Taifa Queen kwa ajili ya USAGAJI.
Ni siku hiyo mtakapoamini mkielezwa NMC ilishawashambulia watu humo, ndo maana kiburi kinazidi
chao!!!!!!
 
Mkuu, NMC ndiyo nini?
 
hebu tujiulize watanzania. Mtu akikunyooshea kidole kimoja cha shahada huwa inamaanisha nini? Binafsi huwa ninaona ishara hiyo hutolewa na mtu akikasirika kwa maana ya kumtukana. Kuna tofauti gani na kusema "wewe unatiwa nini? au "wewe unakazwa nini?", au "wewe unafanywa nini?",. Hivi ukiambiwa hivi utahangaika kujiuliza kutiwa ni nini, maana kwenye dictonary kutiwa au kukazwa au kufanywa hakuonyeshi kwamba ni tusi.

Sasa hayo ni maneno, zipo na ishara, tena nyingi tu. Hebu tujiulize watanzania. Mtu akikunyooshea kidole kimoja cha shahada huwa inamaanisha nini? Binafsi huwa ninaona ishara hiyo hutolewa na mtu akikasirika kwa maana ya kumtukana. Kuna tofauti gani na kusema "wewe unatiwa nini?".

Ukweli Halima Mdee alifanya kitendo sawa na yule Mwenyekiti Mabumba aliyemwambia John Mnyika "Hivi unawashwa nini?"

Nakumbuka kuna wakati hapa nchini Hadija Kopa na Nasma walitunga taarabu iliyoleta sokomoko kwa wimbo usemao "wadudu wananyemvuanyemvua". Ndiyo yaleyale.

tatizo siku hiyo TV zote za Bunge zilikuwa zinamuonyesha Job Ndugai aliyekuwa amesimama anajibu swali hivyo hazikuwa zimemlenga Halima Mdee, kama jinsi kwenye fainali za kombe la dunia za Mwaka 2006 ambapo TV hazikumuonyesha Zinedine Zidane wakati anampiga kichwa Materazi na isingekuwa kutorudiwa kwa TV (replay) nbasi tusingeona alivyomtwanga kichwa.

Lakini katika kujitetea Zinedine pia alijitetea kama Job Ndugai kwamba alitukanwa matusi ambayo yalisikika kwa waliomo uwanjani tu na TV zisingeweza kuona au kusikia.

Hiyo inaitwa "Provoking".

Nina uzoefu binafsi hata kwenye magovmi ya familia, mtu huwezi kuja kuniambia kwamba fulani kamuua ndugu yake kwa ugomvi wa shilingi moja. Lazima nichunguze jambo kubwa lililojificha nyuma yake. Maana provoker hupenda kutumia public kama silaha yake kwa sababu sisi public hatukujua nini kilitokea nyuma ya pazia.

Lakini provoker naye hufanya hivyo akijua kwamba jamii inayomzunguka ni mazuzu ambayo hayatajikita kutafuta ukweli wa chanzo.

Jiulizeni, ni nini historia ya Halima Mdee kulingana na maadili? Je, kesi yake aliyoshitakiwa na James Mbatia ilikuwa na msingi gani? Je, haukuwa msingi wa matusi?

Je, kwa nini Halima Mdee huyohuyo na kwa Naibu Spika huyohuyo mwaka jana aliambiwa neno kubwa zaidi kwamba "Bungeni si mahala pa kuvutia bangi?" .

Ukweli Halima Mdee alifanya kitendo sawa na yule Mwenyekiti Mabumba aliyemwambia John Mnyika "Hivi unawashwa nini?"

Nakumbuka kuna wakati hapa nchini Hadija Kopa na Nasma walitunga taarabu iliyoleta sokomoko kwa wimbo usemao "wadudu wananyemvuanyemvua". Ndiyo yaleyale.

tatizo siku hiyo TV zote za Bunge zilikuwa zinamuonyesha Job Ndugai aliyekuwa amesimama anajibu swali hivyo hazikuwa zimemlenga Halima Mdee, kama jinsi kwenye fainali za kombe la dunia za Mwaka 2006 ambapo TV hazikumuonyesha Zinedine Zidane wakati anampiga kichwa Materazi na isingekuwa kutorudiwa kwa TV (replay) nbasi tusingeona alivyomtwanga kichwa.

Lakini katika kujitetea Zinedine pia alijitetea kama Job Ndugai kwamba alitukanwa matusi ambayo yalisikika kwa waliomo uwanjani tu na TV zisingeweza kuona au kusikia.

Nakumbuka mwaka 1993 wachezaji wa Simba waliwahi kupigwa huko Sudan mwaka 1993 baada ya John Nteze kufunga goli la ushindi kuishinda El-Mereikh ya huko kwenye kombe la CECAFA. Simba walishangilia goli kwa kuwazomea washabiki wa Sudan kwa kuwanyooshea vidole kama Halima Mdee alivyofanya. Washabiki wa Sudan hawakulivumilia hili, wakakasirika wakaingia uwanjani wakaingia uwanja wakawapiga wachezaji wa Simba na mechi ikavunjika na Simba haikuingia fainali.

Hiyo inaitwa "Provoking".

Nina uzoefu binafsi hata kwenye magovmi ya familia, mtu huwezi kuja kuniambia kwamba fulani kamuua ndugu yake kwa ugomvi wa shilingi moja. Lazima nichunguze jambo kubwa lililojificha nyuma yake. Maana provoker hupenda kutumia public kama silaha yake kwa sababu sisi public hatukujua nini kilitokea nyuma ya pazia.

Lakini provoker naye hufanya hivyo akijua kwamba jamii inayomzunguka ni mazuzu ambayo hayatajikita kutafuta ukweli wa chanzo.

Jiulizeni, ni nini historia ya Halima Mdee kulingana na maadili? Je, kesi yake aliyoshitakiwa na James Mbatia ilikuwa na msingi gani? Je, haukuwa msingi wa matusi toka mdomoni mwa Halima Mdee?

Je, kwa nini Halima Mdee huyohuyo na kwa Naibu Spika huyohuyo mwaka jana aliambiwa neno kubwa zaidi kwamba "Bungeni si mahala pa kuvutia bangi?" .

Tuache utani. Siwapendi CCM lakini tunaweza kuwaondoa CCM bila kuwatukana hata tusi moja.

Mineno yoooote hii uliojaza hapa haitoi justification kwa Ndugai kusema alichosema. Kama ni kuudhiwa hata Mnyika aliudhiwa na udhaifu wa Kikwete na Upuuzi wa CCM, lkn akaadhibiwa bila kuulizwa ni kitu gani kimemuudhi.

Kwa kifupi mimi sioni unachoongea hapa, Ndugai kakosea na hamna la kujitetea. Kubenuliwa vidole hakumfanyi na yeye kupata haki ya kutukana.
 
Halafu rais wenu eti hajui chanzo cha umaskin wa Tz, je kuwa na akina Ndugai, Nchemba, Komba, Lusinde, Chatanda et el ni mchezo?

Gharama zote za kuendesha bunge hili la bajeti, ingawa zipo kisheria, lakini ni hasara na ufujaji mtupu. Ingekuwa amri yangu ni lazima zingerudishwa 100%. Silly session, silly results and with ultimate stupidity end.
 
huyu ndugai mi nahisi hawezi kuliongoza bunge coz hana busara kama sita (6)
 
Kumjadili Ndugai ni kupoteza muda, yeye haelewi kitu, pia hajielewi yeye ni nani na hajui ya kesho ndo maana hana hata msaada kwa wagogo wenzie walio mitaani kama omba omba,
 
Mkuu Huwasikasiriki,

Acha uongo bana. Mbona hizi alama wote tunazifahamu?

250px-Anger_during_a_protest_by_David_Shankbone.jpg

Ina maana huyo jamaa hapo juu ANATUKANA? Mie nilifikiri ni kama alama ya kusema WEWE au YOU.

Kidole cha kati ndiyo huwa ina maana ya TUSI. Hata Mzee Makamba alilalamikiwa kwa kuwaonyesha watu wa Mara kidole cha kati. Kibabu kizima kinawapa watu dole la kati, hakijiheshimu hiki kizee....

Usher pia aliwapa watu kidole cha kati ila akarudi palepale kuomba msamaha maana ni TUSI. Acha kupindisha habari.

usherfinger.JPG
images

hebu tujiulize watanzania. Mtu akikunyooshea kidole kimoja cha shahada huwa inamaanisha nini? Binafsi huwa ninaona ishara hiyo hutolewa na mtu akikasirika kwa maana ya kumtukana. Kuna tofauti gani na kusema "wewe unatiwa nini? au "wewe unakazwa nini?", au "wewe unafanywa nini?",. Hivi ukiambiwa hivi utahangaika kujiuliza kutiwa ni nini, maana kwenye dictonary kutiwa au kukazwa au kufanywa hakuonyeshi kwamba ni tusi.

Sasa hayo ni maneno, zipo na ishara, tena nyingi tu. Hebu tujiulize watanzania. Mtu akikunyooshea kidole kimoja cha shahada huwa inamaanisha nini? Binafsi huwa ninaona ishara hiyo hutolewa na mtu akikasirika kwa maana ya kumtukana. Kuna tofauti gani na kusema "wewe unatiwa nini?".

Ukweli Halima Mdee alifanya kitendo sawa na yule Mwenyekiti Mabumba aliyemwambia John Mnyika "Hivi unawashwa nini?"

Nakumbuka kuna wakati hapa nchini Hadija Kopa na Nasma walitunga taarabu iliyoleta sokomoko kwa wimbo usemao "wadudu wananyemvuanyemvua". Ndiyo yaleyale.

tatizo siku hiyo TV zote za Bunge zilikuwa zinamuonyesha Job Ndugai aliyekuwa amesimama anajibu swali hivyo hazikuwa zimemlenga Halima Mdee, kama jinsi kwenye fainali za kombe la dunia za Mwaka 2006 ambapo TV hazikumuonyesha Zinedine Zidane wakati anampiga kichwa Materazi na isingekuwa kutorudiwa kwa TV (replay) nbasi tusingeona alivyomtwanga kichwa.

Lakini katika kujitetea Zinedine pia alijitetea kama Job Ndugai kwamba alitukanwa matusi ambayo yalisikika kwa waliomo uwanjani tu na TV zisingeweza kuona au kusikia.

Hiyo inaitwa "Provoking".

Nina uzoefu binafsi hata kwenye magovmi ya familia, mtu huwezi kuja kuniambia kwamba fulani kamuua ndugu yake kwa ugomvi wa shilingi moja. Lazima nichunguze jambo kubwa lililojificha nyuma yake. Maana provoker hupenda kutumia public kama silaha yake kwa sababu sisi public hatukujua nini kilitokea nyuma ya pazia.

Lakini provoker naye hufanya hivyo akijua kwamba jamii inayomzunguka ni mazuzu ambayo hayatajikita kutafuta ukweli wa chanzo.

Jiulizeni, ni nini historia ya Halima Mdee kulingana na maadili? Je, kesi yake aliyoshitakiwa na James Mbatia ilikuwa na msingi gani? Je, haukuwa msingi wa matusi toka mdomoni mwa Halima Mdee?

Je, kwa nini Halima Mdee huyohuyo na kwa Naibu Spika huyohuyo mwaka jana aliambiwa neno kubwa zaidi kwamba "Bungeni si mahala pa kuvutia bangi?" .

Tuache utani. Siwapendi CCM lakini tunaweza kuwaondoa CCM bila kuwatukana hata tusi moja.
 
viongozi wengi wa ccm
wamepoteza muelekeo
tuwasamahe tu
maana hawajui walitendalo.
 
Mineno yoooote hii uliojaza hapa haitoi justification kwa Ndugai kusema alichosema. Kama ni kuudhiwa hata Mnyika aliudhiwa na udhaifu wa Kikwete na Upuuzi wa CCM, lkn akaadhibiwa bila kuulizwa ni kitu gani kimemuudhi.

Kwa kifupi mimi sioni unachoongea hapa, Ndugai kakosea na hamna la kujitetea. Kubenuliwa vidole hakumfanyi na yeye kupata haki ya kutukana.

JF ni democratic forum. Acha demokrasi ichukue ukweli wake. Wakati wewe huoni nilichoongea wana-JF watatu wamenipa LIKE wakati wewe huna hata moja hadi dakika hii.
 
Back
Top Bottom