Ndoto ya Nova Kambota; Watanzania tujiandae kwa mabadiliko sasa yanakuja!

Mlalahoi naona una hasira sana na mimi tena yaelekea hupendi nizungumze nachokiamini sawaaaa mkuu, mimi nilichosema kuwa huu ni muda wa mabadiliko na mimi nakubali halihalisi wewe unataka kunilazimisha mimi na wana jf wengine kuwa mimi ni mtu mwenye fikra mgando tena kwa kutumia ushahidi wa maandiko yangu yaliyopita sasa naona hapa kuna hisia kuliko uhalisia ina maana wewe ungekuwa ofisini siku niliyochukua kadi ya chama fulani ungeninyima ? kwasababu nilikuwa mwana ccm? ...rejea Biblia takatifu..Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu nani angesimama?.. kisha rudi unihukumu vinginevyo jaribu kunisoma fanya utafiti kisha utabaini sasa hivi mimi ni mtu wa namna gani na mwenye mtazamo gani?

Mkuu umejitahidi kuwa muungwana. Ni wengi waliokuwa wamebeba bendera (CCM) wasiyojua rangi yake. Hivyo mtu akiongoka kama huyu jamaa, tunatakiwa kumpa nafasi na kuangalia mwenendo wake. Upepo wa mabadiliko umeshafika mbali, hata JK anatamani kuwa CDM sema ndo mwenye bendera. Si mnaona anavyojitahd kutekeleza ilani ya CDM? Big up Kambota..!
 
Kama unayo yaandika hapa unayaami, basi itabidi nitenge miezi sita ya kuangalia na kufuatiria post zako ili baadaye nijirishe kuwa sasa umerudi upande ambao kuna sauti za wengi(sauti ya wengi huitwa sautwa ni sauti ya MUNGU).
USHAURI WANGU KAMA KWELI UMEBADIRIKA.
1. Officially, waombe msamaha wale wote uliwachafua kutokana na kazi zako za "BUTUA BORA LIENDE" (Hii itafunya angalao wawe na ka imani dhidi yako)
2. Mara nyingi mtu huamua kujisahihisha baada ya kugundua kuwa alichokua akiamini ndicho kumbe sicho. kwa maaana hiyo inaweza kua ni vizuri kama ikituambia (a)kitu gani kilikufanya uamini na kukitetea kile ambacho leo umeona sicho?
(b)kitu gani kimesababisha leo mida hii ubadilike(ukiacha haya maandamano ya CHADEMA)?
(ni vema ukatujibu ili watu waone na isije ikatoka mtu(hasa mwanaJF) akarudia kama yako na baadaye kulazimika kijisafisha).
 
Back
Top Bottom