Ndoto ya masaburi ya siku nyingi yatimia

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,715
Prince Charles of Wales (kulia) akisalimiana na Meya wa jiji la Dsm Dr. Dida s Masaburi alipowas.jpg
ndoto ya masaburi ya siku nyingi yatimia kwani hapa anaonekana katoa meno thelathini na mbili nje
 
Hivi unapomuita mtu masaburi alafu mods wanakuacha inamaanisha nini?
Sio vizuri kuwaita wenzetu hivyo hatakama wametukosea.

mkuu hilo ndo jina lake.anaitwa Didas masaburi hapo kwenye picha yupo na mwana wa mfalme.mia
 
ndoto ya kukutana na prince wa cameroon
 
kwani masaburi sio jina lake acha kukurupuka mkuu
 
Hivi unapomuita mtu masaburi alafu mods wanakuacha inamaanisha nini?
Sio vizuri kuwaita wenzetu hivyo hatakama wametukosea.
Tehe tehe! mkuu umenichekesha sana, hivi siku hizi mtu kumwita kwa jina lake ni kosa?
 
mkuu hilo ndo jina lake.anaitwa Didas masaburi hapo kwenye picha yupo na mwana wa mfalme.mia

Mpita njia said:
Sasa ulitaka amwite nani wakati juna lake ni Didas Masaburi?

C.T.U said:
kwani masaburi sio jina lake acha kukurupuka mkuu

Mwanatarime said:
Ni jina lake kaka anaitwa Dr. Didas Masaburi, so sio joke.

A little bit of sense of humor would have been nice from you dudes... Thinkingbeing has just droped a joke, he definetly knows the guy's name.
 
Mkuu, wewe ni mwenzetu?!, kwa hiyo hata Mstahiki meya wa Jiji la dsm humjui kwa picha wala kwa jina?, FYI- anaita Dr Didas Masaburi.
Hivi unapomuita mtu masaburi alafu mods wanakuacha inamaanisha nini?
Sio vizuri kuwaita wenzetu hivyo hatakama wametukosea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom