Mume wangu mpenzi Sipiyu![/QUOTE
Mtumeeeeeeeeeeeeeeeee
Mama DA mbona hufurahii furaha yetu jamani?
Nafurahi umeelewa mtoto mzuri!Haahshhaha haya mama sipiyuu
Thank you hubby!Me luv yu sana!
Yaani maana yake

Njoo dada yangu Preta . . . lol

Mama DA mbona hufurahii furaha yetu jamani?
Naogopa kumsaliti mchungaji.
Jamani kumbe!Usijali bwana baba mchungaji hana tatizo!Naogopa kumsaliti mchungaji.
Jamani . . .
Leo nimejisikia kupost ka wimbo ka kilugha kabila fulani hivi, wanapenda kukaimba wakati wa sherehe hasa harusi na sendoff . . . .
Yaani wanavyocheza wananiburudisha kweli mpaka raha, wahusika ongezeeni mengine basi
Ndondo ndondola . . . . katile
Ndondo ndondola . . . . katile
Uswe twesa . . . . katile
Magogondo . . . katile
Mwankemwa . . . katile
Mwasakuna . . . . katile
Andendekisye . . . . katile
Ikyindi.......katile

niseke.......katile

Nkyamba.......katile

mwitongo.....katile

Nutata........Katile
Welcome back Ellia
Ha ha ha ha ha h
Mbilike Malafyale