Ndoana:kwa nini dr shein na maalim hawakuhudhuria sherehe za kuapisha mawaziri??

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,534
8,619
Kwa walioangalia sherehe za kuapisha mawaziri ,waliona pale meza kuu kiti cha dr shein ..kilichokuwa pembeni ya waziri mkuu pinda na Maalim kilichokuwa pembeni ya Bilal ...vilikuwa wazi,yaani walitegemea kufika hadi viti vikapangwa lakini hawakufika ....kwa nini??
Tulitegemea kurugenzi ya mawasiliano iwe imetoa kauli kwani ile imetia doa shughuli nzima ya kuapisha mawazi...kwani kama ilijulikana wasingekuja hata viti visingelipangwa......

Pale mbele tuliwaona....pinda ,seif idd,naibu spika ,kificho,na bilal...na viti viwili wazi...spika makinda inajulikana wazi kuwa yupo ziarani ....Botswana...
 
Nakwambia kunya anye kuku, akinya bata kaharisha! Ingekuwa ishu inayohusu CHADEMA kuhudhuria tukio ungesikia makelele.
 
Kwa walioangalia sherehe za kuapisha mawaziri ,waliona pale meza kuu kiti cha dr shein ..kilichokuwa pembeni ya waziri mkuu pinda na Maalim kilichokuwa pembeni ya Bilal ...vilikuwa wazi,yaani walitegemea kufika hadi viti vikapangwa lakini hawakufika ....kwa nini??
Tulitegemea kurugenzi ya mawasiliano iwe imetoa kauli kwani ile imetia doa shughuli nzima ya kuapisha mawazi...kwani kama ilijulikana wasingekuja hata viti visingelipangwa......

Pale mbele tuliwaona....pinda ,seif idd,naibu spika ,kificho,na bilal...na viti viwili wazi...spika makinda inajulikana wazi kuwa yupo ziarani ....Botswana...

Siyo lazima kila tukio wawepo.
 
Siyo lazima kila tukio wawepo.

kulikuwa na haja gani kuwapangia viti high table kama walijuwa hawaji....they snub the occation....

aliyeuliza mbona jk au pinda hawakuhudhuria uapishaji wa mawaziri znz una point....maana wenyewe wanasema znz nayo nchi ati
 
Wanafikiri wangehudhuria wangelazimishwa nao kuapishwa na wao wanafikiri ni viongozi wa serikali kamili, kumbe wilaya ya Dar
 
Yakhe tuombe radhi siye wazanzibari - weye wasahau kuwa Zanzibar ni nchi ndani ya muungano?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom