Ndoa

si halali kabisa. rejea the story of creation of man, mwanaume ndiye aliyeumbwa kwanza so lazima awe mkubwa kidogo kiumri

mimi binafsi napinga hili,swala si umri ukubwa wa mwanaume uliokusudiwa ni kuwa msimamizi na mwenye mamlaka (amri) ya mwisho ktk familia yake. Wangapi wanaoa wake wamewazidi umri na maisha yao yanaenda vizuri.
 
mimi ni mzima wa afya tele....nimekumiss
wooow! hapo buluu hapo patanifanya nilale fresh leo, mbona nimekumiss pia jamani. kuna mi roho mbaya inaweza ikatureport tupigwe ban kwa ajili ya hizi 2 most romantic posts in JF history ambazo tmekotiana hapa. miswahili bana
 
Kama wakati wa kushughulikiana mambo yanaenda sawasawa umri unaingiaje hapo?
 
wooow! hapo buluu hapo patanifanya nilale fresh leo, mbona nimekumiss pia jamani. kuna mi roho mbaya inaweza ikatureport tupigwe ban kwa ajili ya hizi 2 most romantic posts in JF history ambazo tmekotiana hapa. miswahili bana

achana nao...watajifehemu...teh teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom