Je, nisawa mwanamke kumzidi mwanaume umri miaka 10 na wakaishi vzr ktk ndoa?
no comment...mpaka nimalizie huu mnazi kwanza....i lita5 tu na haitachukua muda...
Kama wamependana basi ni vizuri tu. Kama Preta alivyosema japo baadae mwanamke anaweza pata shida maana wenyewe huzeeka mapema jamaa atakuwa bado anadai. Mtu mmoja na wewe na story yako ya creation siku hizi ishatupwa imebaki historia si unaona wanawake wanavyoongoza nchi mbali mbali na wengine maaskofu? Mambo ya ubavu achana nayo siku hizi wanatuoa.
she will be like a cougar on ya man......
ooooh really....how is you anyway
age ni namba tu, muone Mariah Carey na Nick Canon....raha mustarehe
Kama wamependana basi ni vizuri tu. Kama Preta alivyosema japo baadae mwanamke anaweza pata shida maana wenyewe huzeeka mapema jamaa atakuwa bado anadai. Mtu mmoja na wewe na story yako ya creation siku hizi ishatupwa imebaki historia si unaona wanawake wanavyoongoza nchi mbali mbali na wengine maaskofu? Mambo ya ubavu achana nayo siku hizi wanatuoa.
Je, nisawa mwanamke kumzidi mwanaume umri miaka 10 na wakaishi vzr ktk ndoa?
age ni namba tu, muone Mariah Carey na Nick Canon....raha mustarehe
age sio namba tu, preta unanilet down bana! hapo ukifika 30 kadada yeye kanaingia menopause, gwaride linapungua, uzazi hakuna, unabakia kula kwa macho tu mitaani, ndio mara unaskia kizee kimebaka frozen chicken, kumbe kizee kilikosea step kwenye umri na sasa hakitoshelezwi uwanja wa nyumbani.
BTW, hali yako?