Ndoa

Lucious

Member
Mar 25, 2011
47
22
Hivi kwa nn watu wengi wanatumia muda mwingi kuchangiana kwenye maharusi kuliko mambo ya maana?
 
Hivi kwa nn watu wengi wanatumia muda mwingi kuchangiana kwenye maharusi kuliko mambo ya maana?

(harusi)Ndoa ni muhimu na maana sana kwani ndo chimbuko la watu au wanadamu na wanadamu ndo wanafanya yote unayo yaona ya maana.ila umuhimu wa kuchangishana umepungua kwa kuwa zina vunjika kabla ya kupata watoto(watu)au mapema kabla ya kuwa walea watoto.Mungu atusaidie sana maadili yameshuka kujua kumekuwa kwingi.
 
Mada yako umeiweka vibaya, jibu la haraka haraka ni kwamba ndoa ni kitu cha maana.
 
Ujinga kuchangishana harusi...mtu ukiuguza unapata pole za mdomoni hakuna mchango, mtoto akikosa ada nawe umefukuzwa job hawezi tokea mtu akasema nitamlipia mimi...sababu harusi inaambatana na ufahari Thats Why...utakuta tajiri anatoa pesa kuwapa timu ya mpira ikishinda lakini orphanage centre jirani na nyumbani kwake wanalala njaa
 
Wanasema duniani mtu anakuwa na sherehe kubwa tatu, ya kwanza ni siku ya kuzaliwa ya pili ni siku ya harusi na ya tatu ni siku ya kufa. Katika hizo, ya kwanza na ya pili wanasheherekea wenzio kwani wewe huna ufahamu, so, the only sherehe unayoweza kusherehekea live bila chenga ni siku ya harusi.
 
Ndoa hujenga undugu, huunganisha familia, hukutanisha watu, huleta misamaha kati ya familia na familia, nk
Kwa kifupi sioni tatizo kuchangishwa ndoa nikiangalia na faida zilizopo ...
 
Kama kitu gani cha maana uliomba watu wakuchangie waka kutosa?

Mara ya mwisho wewe umechangia kitu gani cha maana ukiachilia mbali Ndoa na replies za humu JF?
Hii kwa kweli imenikera sana:: sorry you got do better than this
 
Back
Top Bottom