Ndoa

Lord

Member
Feb 13, 2009
91
26
Hivi ni kwa nini binaadam wanaoana?? Ina maana binaadam ni tofauti sana na wanyama wengine hasa linapokuja suala la mahusiano?? Kwa nini tusingekuwa kama wanyama wengine dume moja majike hamsini?? Utaratibu wa ndoa haujaletwa na baadhi ya watu wachache wabinafsi wanaotaka kujimilikisha kila kitu???
 
Hivi ni kwa nini binaadam wanaoana?? Ina maana binaadam ni tofauti sana na wanyama wengine hasa linapokuja suala la mahusiano?? Kwa nini tusingekuwa kama wanyama wengine dume moja majike hamsini?? Utaratibu wa ndoa haujaletwa na baadhi ya watu wachache wabinafsi wanaotaka kujimilikisha kila kitu???[/QUOTE]

Funny part of it,inawezekana kuna ukweli acha nisubiri majibu,,lol
 
darisalama kuna warembo kibaoo, nimezunguka nimekutana naoo, mi sina mpango naoo

hehe mtazidi kusema sema tu vibayaa, mpenzi wangu ana sura mbayaa. nasema si vibaya kumpenda mtoto hidaayaa.
SOURCE : Bongo fuleva.

wale washabiki wanaotaka signecha langu kesho nitakuwa maeneo ya biharamulo. mnakaribishwa
 
jike moja madume hamsini ndio ingenoga!!!!
anyway hakuna anayekuzuia kama huu ndio utaratibu unaoutaka...:decision:
 
Hivi ni kwa nini binaadam wanaoana?? Ina maana binaadam ni tofauti sana na wanyama wengine hasa linapokuja suala la mahusiano?? Kwa nini tusingekuwa kama wanyama wengine dume moja majike hamsini?? Utaratibu wa ndoa haujaletwa na baadhi ya watu wachache wabinafsi wanaotaka kujimilikisha kila kitu???[/QUOTE]

Funny part of it,inawezekana kuna ukweli acha nisubiri majibu,,lol
Wewe usingependa muwe zaidi ya mmoja kwa mwanaume mmoja??
 
Hivi ni kwa nini binaadam wanaoana?? Ina maana binaadam ni tofauti sana na wanyama wengine hasa linapokuja suala la mahusiano?? Kwa nini tusingekuwa kama wanyama wengine dume moja majike hamsini?? Utaratibu wa ndoa haujaletwa na baadhi ya watu wachache wabinafsi wanaotaka kujimilikisha kila kitu???

Binadam anaufaham wa mema na mabaya tofauti na wanyama. binadam na wanyama ni tofauti sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom