Ndoa Zingine mmmhhh

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Nashindwa kuelewa iwapo huyu dada kapata mume ama huyu mzee mzima kapata mke. Je watoto watafanana na baba ama mama. Suala la uchaguzi ni muhimu usije pata watoto hata hawawezi shiriki Miss Mtaa

saudibride.jpg
 
kapenda binti, mapenzi upofu, hapo mwenyewe anamuona baby face...unawezakuta ni mapezni ya kweli kutoka rohoni bila chenga...(money)

Shida mtarimbo wa huyu mume utalala doro mapema!
 
Babu alimuonjesha binti MPIPI, Binti kaamua..."aka babu thkubali, wacha nchonge mzdhinga!" teh teh
 
kapenda binti, mapenzi upofu, hapo mwenyewe anamuona baby face...unawezakuta ni mapezni ya kweli kutoka rohoni bila chenga...(money)

Hakuna mapenzi ya kutoka rohoni hapo tusidanganyane jamani...Huyo binti hapo kafuata mshiko tu! Lazima hicho kibabu kina pesa ya kufa mtu!
 
Hakuna mapenzi ya kutoka rohoni hapo tusidanganyane jamani...Huyo binti hapo kafuata mshiko tu! Lazima hicho kibabu kina pesa ya kufa mtu!
Analamba mshiko kwa kibabu......vijana wanakula mzigo!
 
Kwa tafsiri ya kikweli ya ndoa hao watu ni perfect couple!..Cha msingi kama wamekubaliana kuishi pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha sioni shida!...Mambo ya :A S 8:mtarimbo, ...:A S 8:fedha ya kufa mtu...:A S 8:sura etc ni yenu!
 
Back
Top Bottom