Ndoa za wazee wa Kichagga kimtindo!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Katika uchunguzi wa muda mrefu, inaonekana kuwa wazee wengi wa kichaga hawapo karibu sana na wake zao wa ndoa,ukiacha wale ambao huwatelekeza wake migombani (Moshi), ukitembelea majumbani huko Moshi, hata wale waliopo huko vijijini, hawalali nyumba au chumba kimoja na wenzi wao katika ndoa. Labda yawezekana kabisa mila za Kichaga haziruhusu watu wazima kuishi pamoja (kuna ule utani eti kina mama wapo busy zaidi na kusakanya fedha kuliko mapenzi), lakini kwa kiasi fulani yaonyesha wazee wengi ambao wameoa wachaga wenzao wanatumia desturi hiyo ya kikabila kufanya mambo ya kihuni katika umri wa utu uzima (kuishi na vibinti vyenye umri sawa na wana wao)na pengine wanakuwa wababe sana kwa wake zao wa ndoa, kina mama wengi kule Moshi wanaheshima kuu kwa waume zao kwa kila kitu hata akipotoka si rahisi sana kuhojiwa!!. Nina takwimu za familia nyingi tu zilizo katika mahusiano haya tata!. Labda wenzetu wanaweza kutuelimisha kwa nini ipo hivi!
 
Mambo ya zamani hayo, sasa hivi mie sijui nyumba (kwa walio karibu na mimi) ambayo baba na mama hawachangii chumba kimoja.
 
its true kijana akishaoa enzi hizo analala na mke wake lakini akijifungua anatengewa chumba chake
lakini sio sasa.muda wa kukutana kimwili ni siri sana hata watoto hawawezi kujua
mzee anaomba achomewe ndizi mama akikubali ni ishara ya wao kukutana usiku kisiri
au mama anaamua mwenyewe kuchoma ndizi anamtuma mtoto ampelekee baba yake
baba anavunja kipande anamtuma mtoto amrudishie mama yake ni ishara ya yeye kukubali mapenzi siku hiyo,
asipovunja kipande siku hiyo mzee hataki, pia ndizi ilitumika kama ishara ya kuombana msamaha kama wamekoseana
na mapenzi yalikuwepo tena sana
kwa sasa hali imebadilika
 
Nimeipenda hii ya ndizi peleka salamu!!!!
Kuna Ile ya familia kuwa na mtoto ambaye si wa baba mwenye boma biologically,huyu ni maalum kama kikifanyika kitu cha kuteketeza ukoo pawe na mtoto atakayebaki bila kudhurika.
Mila hizi!!!!
 
Shikamoo!
 
sure.. kuna familia nyingine zenye pesa hazisafiri kwenye ndege moja atiiiiii...
if anything happens, there must be a survivor
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom