MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Fidel na Chrispin mmekazania kusema kuwa ni wajibu wa mama kufanya hayo hatukatai but je kina baba wangapi wanajua na kufanya wajibu wao kwa wake zao?. Mwingine unamkuta anadai ni lazima mkewe naye achangie katika budget ya nyumbani kwa vile anafanya kazi hatukatai but wajibu wako wewe kama mume kwa mkeo ni nini? Huwezisema unamlisha au anakaa nyumbani kwako kwa sababu kama ni chakula naye anachangia katika budget, kama ni kodi naye anachangia na utakuta hata nguo au pesa za saluni hutoi kwa kisingizio kuwa naye anapata mshahara. Sasa ukiwa mwanaume ambaye unafanyiwa kila kitu, na kushare budget, tunashare, you dont appreciate lolote analokufanyia mkeo, kitu gani kitakufanya upewe heshima ya ubaba? Ni hiyo dozi ya chumbani unayoitoa (na pengine mara moja moja) au ni hao watoto uliomzalisha wife?
Timizeni wajibu wenu kama mnataka kuheshimiwa
Timizeni wajibu wenu kama mnataka kuheshimiwa