Ndoa za siku hizi vipi??????

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
weekend huwa naenda makumbusho pale Azimio Arusha kujisomea nikijiandaa na mitihani yangu ya MBA, sasa kuna wadada huwa wanapitapita pale sijui huwa nao wanaenda kusoma ama ndio mambo mengine tena...sasa last week nilipata kioja ambapo demu mmoja kati yao alikuja nilipokaa na akaanza kujiongeleshaongelesha japo angeniona nilivyojuwa sina time nae angeondoka....mara akaanza kushika simu yangu na akabeep kwake. tukapigapiga story pale akaondoka.. Jioni yake akanipigia simu eti tukutane City garden anywway sikuona shida nikapitia pale, nilishangaa sana kwa yale aliyokuwa akinambia eti ameolewa na jamaa na wna miaka 3 kwenye ndoa yao ila hajapata mtoto so anataka nimpe mavituzi ili angalau apate mtoto. kweli baada ya hap nikaona kumbe wanaooa siku hizi wanatakiwa wawe makini sana. ukizaa watoto 3 hapo ukibahatika wawili wakawa wa kwako mshukuru mungu.
 
huyo nae du...yani kaja ki-hasara hasara hivyo!! ndoa zina mambo mengi sana na haya yote ni upungufu mkubwa wa kutokuwa na mahusiano na maelewano mazuri kwa wapenzi...! angekuwa akielewana vizuri na mpezi wake kwa kila jambo sidhani kama ungemuona hapo!
 
Sasa tatizo linakuja inamaana toka alipoanza kufikiria hayo atakuwa amewapa watu wangapi penzi lake kutest kama ataweza kuzaa? na hapo inamaana atakuwa anafanya nao bila kinga
 
Ungemuuliza huko wanakoishi amekosa wa kubaka? Hakuna hata ma-houseboy wa jirani, njeree wa mtaa, mwenye nyumba nk? Anakuzingua huyo,stuka arifu!
 
weekend huwa naenda makumbusho pale Azimio Arusha kujisomea nikijiandaa na mitihani yangu ya MBA, sasa kuna wadada huwa wanapitapita pale sijui huwa nao wanaenda kusoma ama ndio mambo mengine tena...sasa last week nilipata kioja ambapo demu mmoja kati yao alikuja nilipokaa na akaanza kujiongeleshaongelesha japo angeniona nilivyojuwa sina time nae angeondoka....mara akaanza kushika simu yangu na akabeep kwake. tukapigapiga story pale akaondoka.. Jioni yake akanipigia simu eti tukutane City garden anywway sikuona shida nikapitia pale, nilishangaa sana kwa yale aliyokuwa akinambia eti ameolewa na jamaa na wna miaka 3 kwenye ndoa yao ila hajapata mtoto so anataka nimpe mavituzi ili angalau apate mtoto. kweli baada ya hap nikaona kumbe wanaooa siku hizi wanatakiwa wawe makini sana. ukizaa watoto 3 hapo ukibahatika wawili wakawa wa kwako mshukuru mungu.

The more children you have with your wife, the greater the chances that some are not yours! Always memorise this 'formula' in you life.
 
Mkuu achana na kazi za watu..mchukue tu shori wa mtu hata wa kwangu piga ila jihadhari na kazi za wanandoa maana yatokanayo ni makubwa.. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Mkuu mke wa mtu namugopa kama ukimwi mkuu......siwezi piga kazi kwanza sitakuwa na mood kabisa.....
 
Kwa hiyo yeye kukuambia ukaduu naye ndio ndio nini kuwa utampa mtoto au?wako wangapi aliowaambia na una hakika gani kuwa huyo ni mke wa mtu? mi naona yuko kikazi zaidi na anatumia gia hiyo kudaka watuwa dizain yako...otherwise anaanza kuwa chizi aka kuchanganyikiwa..unawezaje kuparamia mtu usomjua na kuongea mambo hayo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom