Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,316
Wadau mimi ni mkristo tena Roman catholic, but linapokuja swala la ndoa huwa sikubaliani na hii kitu ya kufunga pingu za maisha yaani utakae muoa au kuolewa nae ndie awe daima na milele.
Ngumu sana kwa kizazi hiki cha screen touch hiyo kitu ilikua inafaa kwa kizazi cha kale but sio kwa wakati huu, ndio maana nawasapoti waislamu kwenye swala la kuoa unaoa leo akikuzingua basi una mtema una chukua ngoma nyingine unaweka ndani hapo lazma heshima ije tu.
Lakini haya ya pingu za maisha huwajengea kiburi wanawake si ana jua huna ujanja.