maana yake ni ndoa za mkataba,haya sema asante kwa kukutoa ujingaJamani naomba mnieleweshe siku hizi nasikia kuna ndoa za mkataba naomba mnieleweshe maana ya hizi ndoa za mkataba......
Siku hizi umesikia kuna ndoa za mkataba wapi?Jamani naomba mnieleweshe siku hizi nasikia kuna ndoa za mkataba naomba mnieleweshe maana ya hizi ndoa za mkataba......
Hahahahahamaana yake ni ndoa za mkataba,haya sema asante kwa kukutoa ujinga