Ndoa za mashoga.. Tz misaada mnaitaka sana ..uongo?

The WORLD IS FALLING APART!!!!. Sina maelezo ya kuelezea uchafu huu ila ni HERI MARA MIA WABAKI NA HIYO WANAYOITA MISAADA YAO kama wanakotaka kutupeleka na kuvunja amri za mwenyenzi Mungu. Hawa waingereza ndo waliotuletea NENO LA MUNGU likiwa very PURE na leo kule kwao wamechakachua kila kitu sasa wanataka na sisi tuchakachue. TO HELL WITH THEIR DIRTY MONEY!!!!!!!!!!!!!!
 
Acha Mashoga waje jamani, tena kwa wingi...... Wingi sana sana.

Dunia inazidi kujaa kwa speed kubwa sana na sasa TUPO 7 BILIONS.

Tukifanya mchezo tutagonga 10 blns kama mchezo na hapo baadhi ya miji ya Asia, watu wataanza kufa kwa kukosa hewa.

Zamani kulikuwa na vita, magonjwa ya ajabu ajabu na lengo lilikuwa kupunguza idadi ya watu.

USA waliuwa sana huko Viet-Nam maana B-52 lilikuwa likishisha vitu kutoka angani, mtu anakufa kama siafu.

Japan huko China aliuwa sana, tena sana tu. Wao wakafyekwa sana kwenye vita ya pili ya dunia, ila leo wapo kibao.

Kwa sasa hamna vita, hamna magonjwa, na NATURE huwa siku zote inaji-REGULATE. Samaki baharini wanaisha, hewa ya shida, ardhi ya shida, wanyama wanaisha, na nk . Ili hii kuifanya itosheleze, uzalishaji uliopitiliza umeanza kwa kiwango kikubwa huku ukiharibu ardhi kwa kipimo kikubwa sana. Mama Nature sasa kasema STOP. Kama hamna vita na AIDS mnajikinga nayo, hamna gonjwa linalouwa kwa speed kubwa basi njia nyingine itatumika na hii ni moja wapo.

Ukiangalia sana kwa sasa utaona hasa nchi kama India na China, mauwaji ni mengi, mashoga kibao. Na ukiwaangalia Wazungu na watu wanaoishi Ulaya kwa ujumla, ni System ya TATU TATU yaani BABA, MAMA na MTOTO. Ina maana katika wawili, kunazaliwa mmoja. Idadi ya watu Ulaya inashuka katika speed kubwa sana.

Miji mikubwa inasemekana wamejaa Mashoga. Hata kama siyo shoga basi ni wale watu hawataki KUWAJIBIKA kifamilia. Wanaruka mtu na mtu kama kipepeo kwenye mauwa. Wanashinda mjini na kula mahotelini na nyumbani hurudi saa tano jioni kulala tu na asubuhi kazini.

Hii hali hata Tanzania inaanza taratibu. Akina dada wote wanaofanya kazi za mishahara mikubwa, wanasita sana kuolewa. Hata kuzaa inakuwa hivyo hivyo. HAWANA TIME. Hii life style ndiyo kwanza inaanza na itaendelea kwa speed ya kutisha.... MAMA NATURE yupo kazini.

Siku idadi ikipungua sana, amini usiamini, MASHOGA watapigwa mawe na wengi watamrudia Mungu kulaani hiyo hali. Idadi ya watu itaanza kuongezeka tena hadi kije kitu fulani kiseme STOP.
 
Gayweddings-2.jpg

Source: Living Out Loud with Darian: Marriage of Kenyan Gay Couple in the UK Sparks Controversy
 
Mi' nasikitika kwa kukubali kufungua thread hii na kuona something as hideous as that! agggggrrr
 
Tumeiga mambo mengi sana kutoka nchi za magharibi lakini hili la ushoga halikubaliki hata kidogo!

Hawa jamaa ni wajinga sana. Tunisia, Libya, Misri ilikuwa demokrasia. Hapa wameona watuletee ushoga? Mafirauni wakubwa.

Ni afadhali wangetushinikiza kuhusu rushw, ubadhirifu na wizi wa kura.

This is going too far! kwani wamesikia kuna mashoga wameuawa au wamezuiwa wasifirane au wasisagane. Hata walio kwenye ndoa ya mke na mume hawrususiwi kufanya ngono hadarani, sasa hawa wanataka tuwaweke kwenye record kuwa wanafirana ili iweje?

Hapa naona wanataka tubadilishe utamaduni na imani za dini zetu lwa sababu ya misaada ambayo hata hivyo ni vitu walivyoiba kutoka Afrika. Wao ndio walikuja na biblia wakatuambia kuwa hata kulala na mwanamke ambaye hujamwoa ni uzinzi na ni dhambi. Leo iwekw watuambie tuoane jinsia moja tena bila aibu. They can go to hell!!!

I dont know what His Excellency answered them ..........
 
wanatudgharau kwa nini hii demokrasia yao wasiipeleke KWENYE NCHI ZA KIARABU?
 
Kwa kuwa viongozi wetu wamezoea kuombaomba na kutembeza bakuli muda wote, sitashangaa mmoja akajitokeza na kutamka kuwa jambo hili linajadilika.

'UKIPENDA KULA UKUBALI KULIWA PIA'
 
Back
Top Bottom