Ndoa za jinsia moja laana tupu (PICHA)

kafeli wapi?

Kafeli kwenye kila kitu. Si nyinyi waamini mungu kila siku hamuishi kumwomba awaepushie mbali haya mambo ya kishoga? Sasa kama kafanikiwa inakuwaje haya mambo yapo na yanazidi kushamiri?

So called mungu has miserably failed which lends credence to his nonexistence.

And I just don't get it. If y'all are repulsed by homosexuality then why in the hell almost every other day someone has to start either a new thread about it or post pictures showing homosexuals?

If I am repulsed by something I wouldn't even entertain the idea of trying to talk about let alone seeing it. I don't get y'all.
 
Hawa watu weupe au wamarekani ni Mashetani ngojea Mwenyeezi mungu atakavyo wafanya utaona tu huko Amerika kabla ya mwisho wa huu mwaka.

Na kule Arabia?...hawaoani sawa lakini wanapakuana kama hawana akili nzuri:mad2:...wanaita Liwat....ati kuna major liwat(man-man) na minor liwat (man to woman)
 
Kafeli kwenye kila kitu. Si nyinyi waamini mungu kila siku hamuishi kumwomba awaepushie mbali haya mambo ya kishoga? Sasa kama kafanikiwa inakuwaje haya mambo yapo na yanazidi kushamiri?

So called mungu has miserably failed which lends credence to his nonexistence.

And I just don't get it. If y'all are repulsed by homosexuality then why in the hell almost every other day someone has to start either a new thread about it or post pictures showing homosexuals?

If I am repulsed by something I wouldn't even entertain the idea of trying to talk about let alone seeing it. I don't get y'all.
Duh! We dogo unanukia upagani wa kufa mtu! Usije ukawa nawe umeolewa!
 
Kafeli kwenye kila kitu. Si nyinyi waamini mungu kila siku hamuishi kumwomba awaepushie mbali haya mambo ya kishoga? Sasa kama kafanikiwa inakuwaje haya mambo yapo na yanazidi kushamiri?

So called mungu has miserably failed which lends credence to his nonexistence.

And I just don't get it. If y'all are repulsed by homosexuality then why in the hell almost every other day someone has to start either a new thread about it or post pictures showing homosexuals?

If I am repulsed by something I wouldn't even entertain the idea of trying to talk about let alone seeing it. I don't get y'all.

Nadhani hujui jinsi Mungu anavyofanya kazi!and its very difficult to understand, ndio maana ni wachache tu waliopewa uwezo wa kumwita Baba! Mwisho wa siku nyie ndo mnao ulizaga kama Mungu yupo kwa nini kuna magonjwa, kifo, nk! My simple answer: jifunze maana ya anguko. Na the whole reason kwa nini Mwana wa Adamu ilimbudu kuja. Na kwa nini shetani alivyomwambia amsujudie ampe kila kitu, hakubisha na kusema sio vyake! Na kwa nini shetani anaitwa the prince of this world. Na kwa nini Yesu aliongelea kuwa huwezi kuwa huwezi kutumikia mabwana wawili! Na mifano yote aliyetoa kama ya mwenye shamba aliyeenda safarini na kuachia wafanyakazi shamba lake, nk nk.
Conclusion: Mungu hata siku moja hawezi fail, hajawahi na haitakaa itokee. Its simply not His nature. Kwanza by considering kuwa anaweza kuwa ame-fail ni dhambi tosha!so i will end here!
 
ebanaeee haijakaa vizuri hiyo haileti picha siku Mungu akiamua anafuta dunia nzima mkuu.
 
Huku Holland ni kitu ya kawaida kabisaaa kuwa na Partiner wa same sex,tena hata Seeds wanavuta kihalali,serikali yao inahalalisha kila uchafu...huku no more than Sodoma na Gomorah.Nyakati za Mwisho,Tubuni
 
Sijui haya makanisa yanayofungisha ndoa hizi yanatumia maandiko gani? Huo ni ushetani!!
 
O.M.G, Tuna sex mbili lakini gender kibao nowadays, nafikiria wanangu sijui watakulia wapi?
 
Hawa watu weupe au wamarekani ni Mashetani ngojea Mwenyeezi mungu atakavyo wafanya utaona tu huko Amerika kabla ya mwisho wa huu mwaka.
Hivi hii tabia ya kupiga ramli na kutabiri tabiri mnaitoa wapi nyie??!!!!!
 
Back
Top Bottom