Ndoa za facebook zina mambo

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
WAJAMENE MAJUZI NIMEITWA NA KIJANA MMOJA ALIKUWA NJE YA NCHI.AKAOMBA NIMPE KAMPANI ANAMVISHA MCHUMBA WAKE pete.nilipofika hotel moja kubwa nikafurahi sana kuona kamoja cha kabinti cha mjini nakajua kamekamata msela
ila nilijaribu kuuliza kaka umempataje huyu akasema thr facebook......,duh nikaanza kuamini maana binti alikuja amevaa chupi ci chupi na haya kwenye picha alikuwa ataki kupigwa ovyo nikamwonea sana uruma maana jamaa alikuwa south na sidhan kama anamjua kabinti vizuri zaidi ya kupigwa mizinga anyway mapenzi utakiwi kuingilia lakni ushauri unatoa

kila l a kheri ndoa za FACEBOOK
 
fb uhuni mtupu hamna kitu pale under age ndio wako kule wanaongea pumba tu
 
Kule watu wanaangalia tu relationship,wakiona ni complicated *wanaanza kuwatongoza wapenzi wa watu,si wanaume si wanawake,mtu mmoja girlfriend zaidi ya moja,girls pia boyfriend zaidi ya mmoja.Hawalafu waliopo nje ya nchi ndio wanaochezewa.
 
Ok. Ok. Mimi nipo facebook na huwa naitumia vizuri tu. Tukiachana na mambo ya relationships, pia facebook imenisaidia kupata connections nyingi tu na kujuana na watu mbali mbali...
 
fb uhuni mtupu hamna kitu pale under age ndio wako kule wanaongea pumba tu

Sikweli. Ujinga hata humu JF watu wanaongea sana. Suala ni umeamua kutumia vipi mtandao husika. Na kwa hakika FaceBook kwa upande wangu imekuwa na manufaa sana. Kikubwa ni kuitumia kwa uangalifu.

Back to the topic nadhani tatizo pia si kampata wapi. Tatizo ni kamchunguza kwa muda wa kutosha na akaridhika nae? Makosa ya kuchukua mwenza asiye sahihi yanatokea popote pale. Si guarantee ati ukimpata mwenza kazini, club, kanisani ama mtaani ndo mahusiano yenu yatakua bora zaidi.
 
Ok. Ok. Mimi nipo facebook na huwa naitumia vizuri tu. Tukiachana na mambo ya relationships, pia facebook imenisaidia kupata connections nyingi tu na kujuana na watu mbali mbali...

Nakubaliana nawe mkuu. Hii FB ukiitumia vizuri ina manufaa sana.
 
Back
Top Bottom