Ndoa yangu ipo kimya na imetawaliwa na upweke sana

inawezekana ulipopata mtoto mapenz yote ulihamishia kwa mtoto baba ukamsahau bac na yeye akaamua kuuchuna haya mbona yapo sana kwenye ndoa! vunja ukimya!
 
Haya sasa... The Boss keshanambia anani miss; hapo kama baba nanii angekuwa domo zege na maneno matamu matamu siyapati toka kwake si ndio hapo sasa unakuta mtu mzima naanza ku m-PM The Boss na miss you too, unaishi wapi? etc .. wakati The Boss hayo maneno wala hayajatoka rohoni ni mdomoni tu. Lol.

just kidding.. Teh Teh Teh..

from the bottom of my heart.....
 
umesema kweli kwamba haya ni mapito. kiukweli ndoa zaote lazima zipite hali hii, na pia tena inapokuwa ni miaka chini 7 lazima mtapita sana. kwani kipindi chote hiki bado mko mnasomana tabia na mambo mengine.

wataalam wa ndoa wanasema ndoa huanza kufurahisa sana baada ya miaka 10 ya kuish pamoja, hii inatoka na ukweli kwamba muda huo unatosha kumfanya mtu akajifunza kuvumila na hata kuzoea mapungufu ya mwenzie. siyo siri jamani miaka 2-3 soon baada ya ndoa huwa hata hamu ya kufanya tendo la ndoa iko juu kweli kama dozi unajikuta mtu huombi kila siku ama kila baada ya siku moja lazima mfanye. ikishafika sasa mmepata mtoto, nyumba ndo mnaanza kujega kama hamjajenga, mnataka kuongeza kipato cha familia maishayale ya kusweteetiana yanakuwa replaced na money and development seeeking habits.

to me ni jambo jema sana kfikiria swala la maendeleo na kuwaza maendeleo ila pia ni jukumu la mama ndani ya nyumbakuhakikisha kuwa anakabiliana na changamoto zinazotokana na hali hiyo. sitegemei mama uanze kulala mika bali ujifunze kusema na Mungu kumuombea mumeo afya njema, kumuombea shetani asimkwamishe, kuomba afanikiwe na hata kuombea amani, upendo na furaha ya familia.

ukiyafanya yote hayo pamaoja na kutoa sadaka kwaajili ya ndoa yako basi palipobakia ni pa Mungu kutenda. kipindi hiki ndicho mama unatakiwa uwe msafi, maazingira ya nyumba yawe masafi, uwe na matumiz mazuri ya fedha ujipende upendeze, watoto wako wapendeze. hata mabianti wako wa kaazi ndani wapendeze. ni kipindi ambacho mnapokaa kujadili ratiba ama mipango ya wiki basi unatakiwa uhakikishe unapata walau siku moja ya kutoka na mumeo na walau siku moja kwa mwez ya kutka na familia nzima. ndicho kipind ambacho mama unatakiwa utumie hekima zaid na busara kama ulikuwa mpenz kila wiki wee ni kwenye kitchen party, ama harus ama sherehe sijui za begi paarty punguza nenda zile za muhimu tu. na pia ndio wakati ambao unatakiwa menu ya nyumbani uisimamie iwe ile inayovutia siyo mume kila siku wamlisha nyama kitunguu kimesimama, na nyanya inaogelea.

mpendwa hebu rudi jiangalie kwenye haya niliyosema haina maana kwamba umekosea la ila nataka nikuonyeshe power of a woman in creating a strong bond. pia usisahau kuonyesha nia ya kuongeza kipato cha familia hata kama ni kidogo hii itakupa nafasi ya kupunguza matumizi kwenye hela ambayo mnaitenga kwaajilia ya matumizi ya ndani. mwenzenu miye hadi ubuyu nilifunga na karanga na juis na sikuona aibu sku ya kauvunja kibubu sikosi mshahara wa mabinti wa kazi pamoja na bili za maziwa.

I lyk u gal! Coments zako huwa zimejaa busara hekima na inaonesha ur a very strong and very commited woman! Mungu akubarik sana mwaya!
 
Mtaniwia radhi, mimi ndoa yangu ilikaribia kufikia hatua hii, nikatumia technique ambayo nilikumbuka wakati wa uchumba wetu tulikuwa tukiitumia basi mapenzi yanakuwa moto moto zaidi, naamini ilikuwa inatokea naturarly wakati ule, lakini mpaka sasa nikiitumia inawasha moto wa mapenzi kwa kiwango kikubwa sana.

Kwa vile wewe ni mwanamke, unaweza ukaanzisha kwenye meseji, just text him message ya kumchokoza, mueleze, Mwite kwa jina kabisa, kwa mfano "sangarara leo nina nyege", alafu angalia atakavyokujibu, naamini huko aliko lazima asituke kidogo, au "sangarara leo nataka kuto_bwa lakini nataka niikalie mwenyewe" atarudi nyumbani kama kachanganyikiwa, utapata majibu
 
Wadau mimi nimeishi kwenye ndoa kwa miaka mitatu, na nimejaliwa kuwa na mtoto mmoja. Before ndoa ilikuwa na bashasha na furaha, lakini sasa mume wangu amekuwa mkimya sana hatuongei tena kuhusu mapenzi, ni busness na family talks tu! Hata muda wa ku do hakuna love talks...ni kimya kimya! Tukiwa home kila mtu anakuwa busy...! Hii imenipunguzia mvuto na nimekuwa more cold as a results naona kama ndo tunafika mwisho wa ndoa yetu. Je kuna njia yeyote ya kurudisha zile old days? Au ndoa zote zipo hivi? Naombeni Msaada jamani.

1) Mwanaume huwa very sensitive na financial stand ya nyumbani, hivyo mambo yakayomchukulia muda na furaha yatakuwa; jinsi anavyoperform kazini kwake, jinsi anavyopercieve kipato cha familia (whether ni kidogo au cha kutosha) na matumizi ya nyumbani kama yanawiana na kipato....
kama unahisi mumeo kazidiwa kwenye maeneo hayo inabidi mkae na kujadiliana jinsi ya kuwianisha kipato cha familia na matumizi yenu + expectations..

2) Kama si masuala hayo basi revisit vitu mnavyopendelea na uangalie kama kuna mambo yaliyokuwa yanawapa furaha na sasa hamyapati na kujadiliana jinsi ya kuimprovise ili furaha irudi.
 
Umeona eeh. Hizo dirty talks ndio zinawapumbaza wanaume wengi na kujiona vijana wanapokuwa na nyumba ndogo. Akya nani mimi huyu huyu ndio nyumba kubwa na ndogo kwa mume wangu; fa mchezo...

Mtaniwia radhi, mimi ndoa yangu ilikaribia kufikia hatua hii, nikatumia technique ambayo nilikumbuka wakati wa uchumba wetu tulikuwa tukiitumia basi mapenzi yanakuwa moto moto zaidi, naamini ilikuwa inatokea naturarly wakati ule, lakini mpaka sasa nikiitumia inawasha moto wa mapenzi kwa kiwango kikubwa sana.

Kwa vile wewe ni mwanamke, unaweza ukaanzisha kwenye meseji, just text him message ya kumchokoza, mueleze, Mwite kwa jina kabisa, kwa mfano "sangarara leo nina nyege", alafu angalia atakavyokujibu, naamini huko aliko lazima asituke kidogo, au "sangarara leo nataka kuto_bwa lakini nataka niikalie mwenyewe" atarudi nyumbani kama kachanganyikiwa, utapata majibu
 
Umeona eeh. Hizo dirty talks ndio zinawapumbaza wanaume wengi na kujiona vijana wanapokuwa na nyumba ndogo. Akya nani mimi huyu huyu ndio nyumba kubwa na ndogo kwa mume wangu; fa mchezo...

Wewe mama wewe lazima unafurahia sana maisha yako wewe.
 
dada yangu me natoa ushauri kwako, kwanza kumbuka enzi ya mahusiano yenu alikuwa anapenda nini, sababu wanawake wengi kabla hatujaolewa huwa wabunifu sana kwenye mapenzi, tukishapata ndoa tuu basi tunajisahau sana au majukumu yanatuzidi, sasa kumbuka sehemu gani alikuwa anapenda mkutanane, manukato gani yalikuwa yanamtia wazimu ukijipulizia, nguo gani alikuwa anapenda uvae,kituko gani mkiwa wawili ukimfanyia anafurahia,ngoja nikudokeze kidogo me mume wangu kituko nilichokuwa namfanyia ni kumchezea taarab chumbani alikuwa anacheka sana kiasi mpk sasa akisikia taarab lazima anikumbuke,sasa tuludi kwako chumbani ulikuwa unampagawisha vipi and etc. sasa arrange siku ambayo yuko free mfanyie suprise mtoe out mumeo ukiwa umejiandaa kikamilifu mwanamke mfanyie kile kitu roho yake inapenda mpaka akatangaza ndoa,
nakuhakikishia asilimia 85 kila anapokufikiria atabaki kutabasamu peke yake
ndoa tamu dada yangu kuishikilia muhimu na najua unavyojisikia, nakutakia kila la kheri
 
Ila message za hivyo inabidi mtu uwe extra careful ikikosea njia ni noma kwani inakuwa ngumu itakayemfikia kukuamini kuwa ulikuwa unamtumia mume au mkeo... kwa jinsi tulivyozoea kuwa wana ndoa hawaongei kimtindo huo.

Kuna siku nilikuwa safarini nikapokea sms toka kwa hubby kuwa usingizi umekata.. ilikuwa usiku wa manane mi nina usingizi kibao. Kwanza nilistuka nikijua ni emergency, niliposoma sababu ya usingizi nikajikuta nimelala tena kama dk kumi afu ndo nikastuka kuijibu kwa mtindo wa reply. Wee! Si nilikuja kushtuka asubuhi kuwa nimetuma kwa dada ninaye muheshimu sana... na ni baada ya kuona sipati jibu ndio nikauliza kulikoni sms nzito kama ile haijajibiwa mpaka saa nne asubuhi maana najua jamaa akitumiwa sms kali anajibu faster hata kama yuko kwenye kikao.
Nilikuwa mdogo kama piritoni.

Wewe mama wewe lazima unafurahia sana maisha yako wewe.
 
Wadau mimi nimeishi kwenye ndoa kwa miaka mitatu, na nimejaliwa kuwa na mtoto mmoja. Before ndoa ilikuwa na bashasha na furaha, lakini sasa mume wangu amekuwa mkimya sana hatuongei tena kuhusu mapenzi, ni busness na family talks tu! Hata muda wa ku do hakuna love talks...ni kimya kimya! Tukiwa home kila mtu anakuwa busy...! Hii imenipunguzia mvuto na nimekuwa more cold as a results naona kama ndo tunafika mwisho wa ndoa yetu. Je kuna njia yeyote ya kurudisha zile old days? Au ndoa zote zipo hivi? Naombeni Msaada jamani.

Hongereni kuwa mnaweka mbele bussiness na family interest. Mlitaka nini tena zaidi ndani ya ndowa? Kinachohitajika hapo ni kujadiliana kuwa mfanye nini baada ya kutekeleza faida kubwa za ndowa. Iwapo mnaelewana katika kupanga mambo yenu, eti tendo la ndowa nalo mnafanya kweli mtashindwa kuzungumza namna ya kufurahishana? Mmojawapo alihitajika kumwambia mwenziwe, jee wewe ulifanya hivyo nae akakataa kukusikiliza?
Iwapo kila analokufanyia nawe unalipokea bila kulalamika kwake anahisi anakuridhisha sasa kipi mume anatakiwa kukifanya kwa mkewe?
 
Pole sana bidada. hzo ndo ups and downs za ndoa. jitahidi kuangalia ni wapi umekosea urekebishe. sometimes ni muongelee mambo ya zamani wakati mnadate. pia kwenda vacation inasaidia kuamsha hisia.

another thing jiweke up to date hata uwapo home ili kila siku akuone mpya.

kuuwa muwazi kwake na umwelezee hisia zako na jinsi unavyoumizwa na mabadiliko ya ndoa yenu. naamini inside yo heart unaweza kua na clue kwann mmeo kawa hivo.
 
Sometimes jifanye katuni ya tom and jerry mchekeshe,mchangamkie,mpigishe story hata za uongo,sometimes mchokoze kwa utani am sure na yeye atacope up!asipobadilika then itabidi umtoe out somewhere peke yenu then umwambie unavyojisikia...
 
ahsante ndugu, ila mmmh iyo option ya pili, sijui nitamconvice vipi kuja kwako...!

Au unampa mtoto attention kubwa kuliko yy? unajua baadhi ya wanaume huwa wanapata wivu sana unapolekeza mapenzi yote kwa mtoto,anaona humjali na pia hana nafasi tena kwako.

mfano wote mnafanya kazi,mkirudi jioni wewe full tym na mtoto weekeend hivyo hvyo sasa hapo lazma atajipull away.

jitahidi upate muda wa kuwa nae sometimes mtoke out wawili,au hata mkiamua kwenda club pia ipo poa ilimradi tu ufanye kitu tofauti.

mwanamke ukiwa mbunifu mi nakwambia mumei kila siku atakuona kama ndo kwanza anakuona leo. try to fix yo mrriage mamii.
 
Wadau mimi nimeishi kwenye ndoa kwa miaka mitatu, na nimejaliwa kuwa na mtoto mmoja. Before ndoa ilikuwa na bashasha na furaha, lakini sasa mume wangu amekuwa mkimya sana hatuongei tena kuhusu mapenzi, ni busness na family talks tu! Hata muda wa ku do hakuna love talks...ni kimya kimya! Tukiwa home kila mtu anakuwa busy...! Hii imenipunguzia mvuto na nimekuwa more cold as a results naona kama ndo tunafika mwisho wa ndoa yetu. Je kuna njia yeyote ya kurudisha zile old days? Au ndoa zote zipo hivi? Naombeni Msaada jamani.[/QUOTE
Pole sana. Kila mtu afanye jitihada binafsi za kurudisha ndoa yenu kwenye mstari. Zungumzeni na kukubaliana kwama kuna kitu kinapungua na mnapaswa kukirekebisha... Mkifanya mzaha mkafika mpaka 40's huko ndio itakuwa imetoka
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom