Ndoa yangu ipo kimya na imetawaliwa na upweke sana

NDOA ZOTE ZIPO HIVYO
wewe sasa anza kutafuta hobby na wewe
fuatilia tamthilia kama wenzio..
mpaka aone unamsahau...

boss nimekupa like si kwasababu leo umenikosha roho la hasha bali kwasababu umeonyesha kosa ambalo watu wengi hulifanya kwenye ndoa. ahsante sana kwa kutumia mfano mgumu kufundisha watu. ni nzuri it gives people brain
 
Last edited by a moderator:
Kutakuwa kuna kitu hukumsikiliza ! So as a result kaamua yeye kukaa kimya sababu humsikilizi! jiulize na kitu gan, afu anza kumsikiliza mumeo na kuzingatia anachokuambia.
 
Mamii ni mapito tu hayo try to spice it up kwa kufanya yale ambayo ulikuwa unayafanya enzi za uchumba au kabla hujapata mtoto. Pengine na mumeo naye analia hivi hivi. Vunjeni ukimya usisubiri akuanze!

umesema kweli kwamba haya ni mapito. kiukweli ndoa zaote lazima zipite hali hii, na pia tena inapokuwa ni miaka chini 7 lazima mtapita sana. kwani kipindi chote hiki bado mko mnasomana tabia na mambo mengine.

wataalam wa ndoa wanasema ndoa huanza kufurahisa sana baada ya miaka 10 ya kuish pamoja, hii inatoka na ukweli kwamba muda huo unatosha kumfanya mtu akajifunza kuvumila na hata kuzoea mapungufu ya mwenzie. siyo siri jamani miaka 2-3 soon baada ya ndoa huwa hata hamu ya kufanya tendo la ndoa iko juu kweli kama dozi unajikuta mtu huombi kila siku ama kila baada ya siku moja lazima mfanye. ikishafika sasa mmepata mtoto, nyumba ndo mnaanza kujega kama hamjajenga, mnataka kuongeza kipato cha familia maishayale ya kusweteetiana yanakuwa replaced na money and development seeeking habits.

to me ni jambo jema sana kfikiria swala la maendeleo na kuwaza maendeleo ila pia ni jukumu la mama ndani ya nyumbakuhakikisha kuwa anakabiliana na changamoto zinazotokana na hali hiyo. sitegemei mama uanze kulala mika bali ujifunze kusema na Mungu kumuombea mumeo afya njema, kumuombea shetani asimkwamishe, kuomba afanikiwe na hata kuombea amani, upendo na furaha ya familia.

ukiyafanya yote hayo pamaoja na kutoa sadaka kwaajili ya ndoa yako basi palipobakia ni pa Mungu kutenda. kipindi hiki ndicho mama unatakiwa uwe msafi, maazingira ya nyumba yawe masafi, uwe na matumiz mazuri ya fedha ujipende upendeze, watoto wako wapendeze. hata mabianti wako wa kaazi ndani wapendeze. ni kipindi ambacho mnapokaa kujadili ratiba ama mipango ya wiki basi unatakiwa uhakikishe unapata walau siku moja ya kutoka na mumeo na walau siku moja kwa mwez ya kutka na familia nzima. ndicho kipind ambacho mama unatakiwa utumie hekima zaid na busara kama ulikuwa mpenz kila wiki wee ni kwenye kitchen party, ama harus ama sherehe sijui za begi paarty punguza nenda zile za muhimu tu. na pia ndio wakati ambao unatakiwa menu ya nyumbani uisimamie iwe ile inayovutia siyo mume kila siku wamlisha nyama kitunguu kimesimama, na nyanya inaogelea.

mpendwa hebu rudi jiangalie kwenye haya niliyosema haina maana kwamba umekosea la ila nataka nikuonyeshe power of a woman in creating a strong bond. pia usisahau kuonyesha nia ya kuongeza kipato cha familia hata kama ni kidogo hii itakupa nafasi ya kupunguza matumizi kwenye hela ambayo mnaitenga kwaajilia ya matumizi ya ndani. mwenzenu miye hadi ubuyu nilifunga na karanga na juis na sikuona aibu sku ya kauvunja kibubu sikosi mshahara wa mabinti wa kazi pamoja na bili za maziwa.
 
Tafuta namna ya kuokoa ndoa yako na uvunje ukimya kwa mmeo mama Stan hebu kaa chini na umuulize tatizo nini.
Ndoa ndio ziko hivo nadhani zina vipindi kana vuli ,masika na kiasi
all the best
 
ahsante sana ndugu...!
 
ni ngumu kwako kuelewa
wanawake wanafikiri all the time tunapenda kufarijiwa
sometimes WE DONT WANT A PITY LOOK FROM OUR LOVED ONES'
OR A SAD WORD....

WE SIMPLY WANT TIME TO HEAL THINGS
ni Nature sio sisi

mmmmh! am learning something here.....
 
mwambie hivi
'nahisi nimekukosea sana lakini sijui ni nini hasa
kwa hiyo naomba samahani, unisamehe'
nakupenda sana mpenzi....

heheee kama naona vile my hubby anavofurahi akiambiwa hv bichwa linakuwa kubwa trela dogo lol!
ila nimegundua pia raha ya mapenzi kupeana yaani nipe nikupe sio nikupeee tuuuu aaahha leo nikisema hayo maneno kurudisha mahusiano next tym iwe yy kunibembeleza ivo coz kila cku nikiwa mm tuu na ubusy wa life nowdats ndo tunaishia kulalama kama mama stan. hili ni ombi wanandoa wanaume woote mliangalie tafadhali
 
mimi nadhani ni hali ya kawaida tu mara nyingi uwa inatokea katika ndoa nyingi na pia kumbuka si kila siku ni jumamosi au jumapili ,jalibu kuangalia yapi ambayo ulikuwa unamfanyia awali uenda sasa humfanyie inaweza kuwa sababu ya kupunguza upendo na wakati mwingine uenda ameshapata wa kumburudisha nje huyo kaa naye na mjadiliane nn sa7 ni hayo tu
 
Kama akiwa kimya jitahidi kuanzisha stori zennu za furaha mchekeshe uone mtarudia tuu hali yenu ya zamani unajua wanawake wengi huwa kimya kusubiri mume ndio aanzishe stori sasa kama mume akiwa na tumawazo kidogo basi ndio kimyaaaaaaaaa kinatawala.
 
Dada yangu ndoa yako yaweza kuwa kama unavyotaka wewe na mwenzio ila kama umefikia hapo naomba umtafute mshauri wenu wa karibu ambaye unamwamini na ambaye yuko neutral ili awasaidie hasa watu wa kiroho ambao unaamini kabisa kuwa ni waaminifu watawapa ushauri mzuri wa revive ndoa yako. Vinginevyo kama unaweza kukubaliana na mumeo mkaja kwangu wote wawili nitakaa nanyi ili tuzungumze na tuombe pamoja, Mungu aliyewaunganisha atawafanya mfurahie maisha ya ndoa tena. Asante sana.
 
Wadau mimi nimeishi kwenyendoa kwa miaka mitatu, na nimejaliwa kuwa na mtoto mmoja. Before ndoa ilikuwa na bashasha na furaha, lakini sasa mume wangu amekuwa mkimya sana hatuongei tena kuhusu mapenzi, ni busness na family talks tu! Hata muda wa ku do hakuna love talks...ni kimya kimya! Tukiwa home kila mtu anakuwa busy...! Hii imenipunguzia mvuto na nimekuwa more cold as a results naona kama ndo tunafika mwisho wa ndoa yetu. Je kuna njia yeyote ya kurudisha zile old days? Au ndoa zote zipo hivi? Naombeni Msaada jamani.
Wewe ndiye mwenye kosa kubwa kushinda mme wako, unalijua tatizo, still umekaa kimya. Unafiriki kitu ambacho hakipo kwenye kichwa ca mme wako (Kufikia mwisho wa ndoa yenu).
Tafuta muda tena nzuri wakati mupo faragha unampa mambo, kaa nae chini, mueleze tatizo hili na hisia zako juu ya tatizo hili.
Note: Kuna thread inayokwenda na jina la Tips for long lasting marriage, itakusaidia sana.
 
ooh! Thanks...!
 
Dada yangu ndoa yako yaweza kuwa kama unavyotaka wewe na mwenzio ila kama umefikia hapo naomba umtafute mshauri wenu wa karibu ambaye unamwamini na ambaye yuko neutral ili awasaidie hasa watu wa kiroho ambao unaamini kabisa kuwa ni waaminifu watawapa ushauri mzuri wa revive ndoa yako. Vinginevyo kama unaweza kukubaliana na mumeo mkaja kwangu wote wawili nitakaa nanyi ili tuzungumze na tuombe pamoja, Mungu aliyewaunganisha atawafanya mfurahie maisha ya ndoa tena. Asante sana.

ahsante ndugu, ila mmmh iyo option ya pili, sijui nitamconvice vipi kuja kwako...!
 
Back
Top Bottom