Ndoa ya Pili ni Ndoa bila kuvunja ya Kwanza?

Slaa hana uzoefu wa kuoana au kuoa mke wa mtu; bali ana uzoefu kuishi kinyumba na hawara ambaye ni mke wa mtu. Kwa mantiki hiyo ndugu Kibunango uko nje ya mada.

Ili mradi tu watu watoke kwenye mada... HAPA ISHU NI DOWANS YA BABA YENU JK NA MJOMBA WENU RA!!!!! Jibuni hoja sio kutuletea mambo yenu ya kwenye mipasho...
 
Back
Top Bottom